Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Ni Hivi wakati napendekeza hata sikujihoji manake nilikua nawahi mahala. Kwa kweli sisi maMrs hapana kwanza sisi wengine umri umeenda sana kwenda kupita mbele na vile vivazi . Mwaya haitufai hii naona nilikosea, sasa Lady doctor sorry nilikua sijausoma uzi vizuri kumbe wanahitajika maMiss wewe ukanichomekea khaaaaa.
my dia hata mi ni Mrs lakini tunaruhusiwa atii ila mie nimesema vile vivazi vya mabinti sitovaa nitavaa dela, baibui, kitenge, skirt charanga, shati la kwaya,...... Mmmmh nahisi kupata boooooooo jukwaani loooh!!
unajifanya hujui ukiwa unavaaga joho
we haya tu shem,ngoja nitumikie adhabu kama mitambo ilitotelekezwa na serikalihahahaaa.... We nae mpana
we haya tu shem,ngoja nitumikie adhabu kama mitambo ilitotelekezwa na serikali
now ndo nipo kwenye mission,.slogan itakuwa,...Amini usiamini Lady doctor ndo miss...wengine mnajisumbuahahahaaa...... Halafu nina hasira na wewe nitakununia mwezi mzima ujue, kwa nini hujanipendekeza kuwa miss?
now ndo nipo kwenye mission,.slogan itakuwa,...Amini usiamini Lady doctor ndo miss...wengine mnajisumbua
Amen Bwana Yesu asifiwe,njoo tufanye ibaya ya roho tuone uwepo wa raha ya utakatifuhahahaaa......... Thanteeeeeee, nitakupenda kiagape ujue, kwanza bwana Yesu asifiwe lol!
Amen Bwana Yesu asifiwe,njoo tufanye ibaya ya roho tuone uwepo wa raha ya utakatifu
jiweke huru yesu aweke mambo sawa ufurahingoja niandae mazabahu kwanza na niweke roho yangu tayari kwa kujazwa roho mtakatifu.... Amina?
jiweke huru yesu aweke mambo sawa ufurahi
anawaita watoto wadogo waje kwake awakumbatie ufalme uwe,,,,,nikumbatie ulie kwa utam uone utam wa JFnataka anibebe ani bembeleze mikononi mwake niwe salama
sosi: dada Rose
Hahhahaha sasa hiyo itakua sio umiss , ngoja tuwaachie kina @shansarie wapambane halafu letu litakuja baadae. Ili mpambano uwe fea inafaa wakifanya hivyo. Sisi letu sijui liitwe madam wa chit-chart. Umeona eeemy dia hata mi ni Mrs lakini tunaruhusiwa atii ila mie nimesema vile vivazi vya mabinti sitovaa nitavaa dela, baibui, kitenge, skirt charanga, shati la kwaya,...... Mmmmh nahisi kupata boooooooo jukwaani loooh!!
Hahhahaha sasa hiyo itakua sio umiss , ngoja tuwaachie kina shansarie wapambane halafu letu litakuja baadae. Ili mpambano uwe fea inafaa wakifanya hivyo. Sisi letu sijui liitwe madam wa chit-chart. Umeona eee
Itabidi wawatoe maMrs manake maana ya shindano itapotea.kweli kabisa maana kuna ma Mrs wenzetu akina DEMBA na The secretary nao wanataka shindano la ma Mrs lakini nashangaa wote tumechanganywa na ma miss
sawa, utapata....