Miss CHIT-CHAT NOVEMBER: Pendekeza Majina sasa!

Miss CHIT-CHAT NOVEMBER: Pendekeza Majina sasa!

Ni Hivi wakati napendekeza hata sikujihoji manake nilikua nawahi mahala. Kwa kweli sisi maMrs hapana kwanza sisi wengine umri umeenda sana kwenda kupita mbele na vile vivazi . Mwaya haitufai hii naona nilikosea, sasa Lady doctor sorry nilikua sijausoma uzi vizuri kumbe wanahitajika maMiss wewe ukanichomekea khaaaaa.

my dia hata mi ni Mrs lakini tunaruhusiwa atii ila mie nimesema vile vivazi vya mabinti sitovaa nitavaa dela, baibui, kitenge, skirt charanga, shati la kwaya,...... Mmmmh nahisi kupata boooooooo jukwaani loooh!!
 
Last edited by a moderator:

Hahhahaha sasa hiyo itakua sio umiss , ngoja tuwaachie kina @shansarie wapambane halafu letu litakuja baadae. Ili mpambano uwe fea inafaa wakifanya hivyo. Sisi letu sijui liitwe madam wa chit-chart. Umeona eee
 
Hahhahaha sasa hiyo itakua sio umiss , ngoja tuwaachie kina shansarie wapambane halafu letu litakuja baadae. Ili mpambano uwe fea inafaa wakifanya hivyo. Sisi letu sijui liitwe madam wa chit-chart. Umeona eee

kweli kabisa maana kuna ma Mrs wenzetu akina DEMBA na The secretary nao wanataka shindano la ma Mrs lakini nashangaa wote tumechanganywa na ma miss
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom