MISS CHITCHAT NOV 2013 KUJIANDIKISHA NI SASA!! Warembo Wote Don't miss!!!

hapana shem, si unajua watoto wa kitanga tumefundwa tukafundika kumlea mume kwetu ni kazi ndogo sana.

watoto wa kitanga wa zamani sawa lakini nyie wa siku hizi mnaharibikia ukubwani kama boga, mkipata mwanaume mwenye mavumba tu lazima mumtulize kwa chupa
 
aaaah jamani shem tunaharibiana ujuee, mi mbona sinaga mambo hayo. Nina mapenzi ya vitendo na si ya nguvu za mbalamwezi lol!

aahh sasa ndugu yangu alivyo kibonge vile ni wa kumtafuta kwa kurunzi kweli tena mji wenyewe huo wa arachuga ulivyo mdogo. ntakuwa wa mwisho kuamini kama hamna nguvu ya mbalamwezi wallah...

Gombea basi umiss
 
hahahaaa, shem ye mwenyewe anajua kilicho mdatisha kwangu akawaacha maduu wote wa town akanifuata Dr mie lol!

Shem sijajua kama na mimi mke wa Rais naruhusiwa kugombea umiss atii
 
Unaruhusiwa mpenzi.
 
aahh sasa ndugu yangu alivyo kibonge vile ni wa kumtafuta kwa kurunzi kweli tena mji wenyewe huo wa arachuga ulivyo mdogo. ntakuwa wa mwisho kuamini kama hamna nguvu ya mbalamwezi wallah...

Gombea basi umiss

wewe una utani na Mzee wa Rula?
Mimi ningekuwa kibonge kama yeye ningefurahi sana mkuu, ila shemejio Lady doctor anajitahidi kunipa msosi mzuri labda mpaka mwakani nitafikisha kilo 55.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…