MISS CHITCHAT NOV 2013 KUJIANDIKISHA NI SASA!! Warembo Wote Don't miss!!!

MISS CHITCHAT NOV 2013 KUJIANDIKISHA NI SASA!! Warembo Wote Don't miss!!!

Mpaka tarehe 28 mwezi huu tunakusanya majina ya wadadaz wote walioshiriki kwa namna moja au ingine kwenye thread hii, tunawapanga mafungu ya A-B-C-D etc afu wanaanza kupiga kampeni baada ya hapo watabaki wawili kila kundi jumla 8 ndio watakaokuwa wameingia robo fainali, then watabaki wanne (nusu fainali) na afu baadae watabaki wawili ambao nao watapigiwa kura na mwisho wa mwezi November tutahesabu kura zao na kumtangaza MISS CHIT-CHAT.

Swali la nyongeza unakaribishwa mkuu.

mi nshamchagua wife wangu shansarie kama mshiriki ntakuwa meneja kampeni wake...
nawasilisha!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom