What are you talking about aah?
Hilo taji limenakshiwa na Nini ?
halafu wewe, ile kitu nimeiona teh...teh, nimefurahi ujue na kesho tena hahahaaa!
Na pilipili
The secretary sasa unanishaurije jamani?Mke huna
Naomba tu nikuulize bwana RAISI with due respect... Hii vita unayoianzisha utaiweza???? Najua uwepo wangu madarakani hautegemei hata chembe cheo chako na mipaka ya madaraka inaeleweka na sijawahi kugusa mamlaka yako.. DO YOU TRY ME...!? Uko comfortable sana kwenye cheo chako na sas unataka uanzishe chokochoko....???? Mi mwenzio nimezoea , huwa watu wanajitangaza UENYEKITI kama unavyofanya wewe and still I'm there..... Nakushauri tu.... Don't drag me into that.... Ntawahamisha kanda ya Kaskazini kwa lazima in less than Six hours wewe na huyo unayetaka kutumia cheo chako kumpandikiza hapa....
C.C Erickb52
Ndiyo kina Radhia Sweety!!
The secretary sasa unanishaurije jamani?
Tuache kupiga domo vipi mashindano yanaanza lini?. Arushaone
.
Mpaka tarehe 28 mwezi huu tunakusanya majina ya wadadaz wote walioshiriki kwa namna moja au ingine kwenye thread hii, tunawapanga mafungu ya A-B-C-D etc afu wanaanza kupiga kampeni baada ya hapo watabaki wawili kila kundi jumla 8 ndio watakaokuwa wameingia robo fainali, then watabaki wanne (nusu fainali) na afu baadae watabaki wawili ambao nao watapigiwa kura na mwisho wa mwezi November tutahesabu kura zao na kumtangaza MISS CHIT-CHAT.
Swali la nyongeza unakaribishwa mkuu.

mi ninayo
Teh teh ni hivi,sikiliza basi,unajua nini?..aaah nimeshindwa mi domo zegeUliza...
Teh teh ni hivi,sikiliza basi,unajua nini?..aaah nimeshindwa mi domo zege