Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,372
mi domo zege naomba basi nipendeHahahaha pole sana...
mi domo zege naomba basi nipendeHahahaha pole sana...
mi domo zege naomba basi nipende
aaah mi sijui kutongoza bhana,basi naomba uwe mineKwani nlikwambia nakuchukia?
aaah mi sijui kutongoza bhana,basi naomba uwe mine
nimemwachisha wapi?kanikana hapa chit chat mpaka najuta mbele ya mmewe.Ahaahhahaha nyooo Heaven on earth ulimpataje hapa? Mpaka ukamuachisha kwa mumewe figganigga hahahaa hadi na wimbo ukaweka hapa toka apa
nimemwachisha wapi?kanikana hapa chit chat mpaka najuta mbele ya mmewe.
nikubali bhana,tufunge ndoa tukomoane 69Haahhahaa ndo ukomee..
Kwani nlikwambia nakuchukia?
poa cousin, hebu nipe list ya wengine basi ili tumchague atakae tuwakilisha
itakuwa mahakamani
Mkuu wangu....nashauri sherehe ifanyike next week ila kamati ya maandalizi iundwe mapema iwezekanavyo....!Hebu ngoja nimuulize mwenyekiti ndugu Erickb52 anikumbushe ile tarehe ya sherehe ya kukuaga baada ya kustaafishwa kwa manufaa ya umma.
yeye anataka muoane. So mkubalie aache kutangatanga. au unafurahia? mia
Mkuu wangu....nashauri sherehe ifanyike next week ila kamati ya maandalizi iundwe mapema iwezekanavyo....!
Nitaiandaa then nitakupa uipitie kabla ya kuipa go ahead!
Cc Lady doctor Chocs
Mkuu wangu....nashauri sherehe ifanyike next week ila kamati ya maandalizi iundwe mapema iwezekanavyo....!
Nitaiandaa then nitakupa uipitie kabla ya kuipa go ahead!
Cc Lady doctor Chocs
Sawa, ukiwa sawa nipandie hewani tu.