MISS CHITCHAT NOV 2013 KUJIANDIKISHA NI SASA!! Warembo Wote Don't miss!!!

MISS CHITCHAT NOV 2013 KUJIANDIKISHA NI SASA!! Warembo Wote Don't miss!!!

ondoa shaka nini kupitia mgambo, mwenzio nilipomaliza shule zama zile
tulipelekwa jkt kujinoa hivyo niko kamili gado
nitakupa pale lthp cv zangu au wataka leo niandae?
leta cv zako..shart lzm uwe umepitia mgambo

watakua SALAMA wao na MALI zao..usiwe na chembe ya shaka
 
Asante kwa shindano,hapa lazima niondoke na mshindi atakayetwaa taji la kuuteka moyo wangu,na nina bahati ya kuzaliwa hawezi kuwa mtu ambae ni recycle-d,haya mbio za sakafuni ndo zimeshaanza,yangu majicho!
 
Last edited by a moderator:
bora hicho kiti uchukue wewe maana huyu BABU
kaniletea mkosi na balaa home kwetu mchana kweupeee
halafu anasema kuwa mie nimeji........ kwake, anataka
nipewe talaka 3 na m'a husband bure, wakati daddy watu8
alishakula ng'ombe na mikeje, na milembe ya watu wakati ule,
kaka ananitakia mema huyu ni ananitakia majanga bure
Huyu jamaa anataka kujifanya mwenyekiti wakati ana kashfa za kutosha!
Dada tushirikiane kwenye kusimamia maisha ya furaha kwa wana jamvi
 
Back
Top Bottom