Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,234
- 26,756
Heee sikutegemea kabisa hata wewe shostito? Kweli nimeamini sasa
Umeni pm nikireply inagoma..nikachukiaje bestito
Heee sikutegemea kabisa hata wewe shostito? Kweli nimeamini sasa
umeambiwa nini niambie basi
aaaaaah unanificha hata mimi?Nimeambiwa kitu..hum ndani kuna siri basi
aaaaaah unanificha hata mimi?
namtaka nani?sikufichi kitu love...ila nimesikia unamtaka
mbona naanza kuogopa
namtaka nani?
imepokelewa....
Shoga, nimebeba nyingine.
Si unajua ndoa ilivo ngumu!
hongera zenu naona anawafagilia anataka mshinde nini? hasa wewe cousin
kama wakitaka kura basi yangu ikuangukie wewe
Usijali mama....wewe ni msaidizi wangu daima
Ila usiwe kama salama ukatunyonyoa lol..
mnapeana madaraka sio!
Hayakuhusuuuuuuu
Usiogope Love....
Nimepona mpenzi wangu.
Namshukuru Mungu.
Vipi na wewe uko salama?