Kanywa gongo yangu hataki kulipa nikimdai eti wanasema nauza si majanga haya
Unamsikiliza huyo wewe?
Point!!!!
BTW; Hivi wife, yule nduguyo aitwaye Mr Rocky yuko wapi siku hizi? Sijamtia macho muda sasa.......!!
Sijui nilete pingamizi?!! Maana umentupa kijijini huku ukidai maisha magumu unatafuta kwanza kumbe weye waendelea na maisha na mke mwingine ushaoa. Ulidhani ulimwengu wa dijitali hautotufikia kijijini kwetu!!! Kesho alfajiri napanda Wifi Nae Coach na wanao
Wewe mtoto wa kike wewe!!!!!
Astaqafirullahi
sijambo mpenzi, hivi na sisi washiriki tunaruhusiwa kupigiana kuraeeeh!
Sijui nilete pingamizi?!! Maana umentupa kijijini huku ukidai maisha magumu unatafuta kwanza kumbe weye waendelea na maisha na mke mwingine ushaoa. Ulidhani ulimwengu wa dijitali hautotufikia kijijini kwetu!!! Kesho alfajiri napanda Wifi Nae Coach na wanao
kumbe na we unashiriki sikujua dear, basi kazi ipo hapa
OK, njoo uninuse.....
Tafadhali Lady doctor na Arushaone naomba wachungwe wasije wakakimbia na mabox ya kura.
NIKO TAYA RI KUONDOA MANENO YANGU KAMA HITA HITAJIKA.
kumbe na we unashiriki sikujua dear, basi kazi ipo hapa
mkuu Arushaone mbona sioni majina ya washiriki?
my akanana [MENTxION=110201]Passion Lady[/MENTION] ndio mshindi hapa.