MISS CHITCHAT NOV 2013 KUJIANDIKISHA NI SASA!! Warembo Wote Don't miss!!!

Last edited by a moderator:
daaa shem Lady doctor we acha tuu, fitina walio nifanyia sosoliso na Paloma wakishirikiana na Arushaone hadi nikafungwa sito sahau.


kwakweli sosoliso na Arushaone si watu wazuri sema wewe na Paloma hamshauriki kabisa.

Ha ha ha Ruttashobolwa.. Aliekuambie uyang'ang'anie yale meno ya tembo wakati msala ulishasanuka alikuwa ni Arushaone au mie..? Unatuonea tu sie wala hatuhusiki hata kidogo.. By da way nilitahidi kumpa kampani sana shem Passion Lady wakati wewe ukiwa huko shimo la tewa...
 
Last edited by a moderator:
hiyo sayansi ya mapenzi ndio mnatumia tunguli,maji ya eliki na mdalasini,kisosi cha kuwekea mayai,kigoda, kubebwa mgongoni, kupakatwa wakati wa kula hebu malizia hivyo vingine

hahahaaa.... Kujifukiza udi kunako maeneo, kumsinga mume, mambo ya 'salad saladz' lol mengine siongei mie maana nitatoa siri za chumbani bureee!
Yaaani ze utamu kwa kwenda kitonga.
 
Afu ntakusemea kwa mshua wako Mtambuzi akuchape....Umekuja kufanza nini mjini? :msela::flock::flock::violin::target:
................ Nimeshushukaje sasa? Haya bwana namfuata yeye yeye aloniozesha weye anipatie mume mwingine. (Hawa wanao Kulwa, Doto na Kashindye watakutafuta wakikua.
 
Vigezo vya mamisi,siku ya Fainali lazima tuwatwange maswali,miss wa JF lazima awazidi wa anko Lundenga
 
mkuu Arushaone mbona sijamwona radhia sweety hapo nimempigia kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…