CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
hahahaaa.... Kujifukiza udi kunako maeneo, kumsinga mume, mambo ya 'salad saladz' lol mengine siongei mie maana nitatoa siri za chumbani bureee!
Yaaani ze utamu kwa kwenda kitonga.
Madame B ,Arushaone, mbona umenimention mara 2?
Au bado unanitaka?
Hata hivo mie sihitaji kushiriki.
Nalea Mimba ya my huz Ben Saanane.
mmh haya bana nimekubali ndugu yangu Arushaone nshampoteza.... ila umiss hugombei, muwe na week end njema
hamjampoteza banaa ila ninamtunza tu ndugu yenu.
Umiss nagombea
uwe na wknd njema pia my shem!
hahha poa shem ngoja tusubiri huo mchakato wa umiss uanze kwanza
Ha ha ha Ruttashobolwa.. Aliekuambie uyang'ang'anie yale meno ya tembo wakati msala ulishasanuka alikuwa ni Arushaone au mie..? Unatuonea tu sie wala hatuhusiki hata kidogo.. By da way nilitahidi kumpa kampani sana shem Passion Lady wakati wewe ukiwa huko shimo la tewa...
pole sana, nasikia ulirestishwa in seva, alafu usiwe unatufuatilia sana maana utaendelea kujiingiza matatizoni shem
Hivi Ruttashobolwa unajua aliko mkeo Passion Lady?
pacha mkanye mumeo tafadhali
biashara ya kunisababishia upweke
jamvini mi spendi ujue!!ananitaftia ujane kilazima!!
amuache huby wangu apumue bana!1
kumbe Arushaone anahusika na
kifungo chako,kuanzia leo namnunia
cc Lady doctor!!
kumbe Arushaone anahusika na
kifungo chako,kuanzia leo namnunia
cc Lady doctor!!