MISS CHITCHAT NOV 2013 KUJIANDIKISHA NI SASA!! Warembo Wote Don't miss!!!

Huyu Excellent alikuwa amesafiri kikazi kule kwenye mitaa ya M23, hivyo hakumbuki habari ya uchaguzi

Baba V ni mwenyekiti wa cc, Arushaone ni Rais
 
Last edited by a moderator:
nashukuru sana shem katika list yako ndefu mm sijamentioniwa
kwa hilo sina la kuchangia hapa
 
hata hivyo bestito nashukuru kwani Arushaone kaona umhimu wa shem wake hapa jamvini
ndo maana kanipachikia uongozi wa kipekee bila nyie washiriki kujua hilo
Pole yako ladyfurahia mama mimi nimetajwa mara 2 kwa msisitizo kabisa mstari wa kwanza na wa mwisho hahahahah Arushaone mbee watu muhimu ni wa kwanza kukumbukwa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…