CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Pole yako ladyfurahia mama mimi nimetajwa mara 2 kwa msisitizo kabisa mstari wa kwanza na wa mwisho hahahahah Arushaone mbee watu muhimu ni wa kwanza kukumbukwa
Haya mama Jr
Hata mie sikujua kama nimetajwa mara mbili....
aliniambia anafanana na zombi sasa nataka nione kama kweli
kaka sijui utakuwa na wangapi maana nawe
umekithiri utitiri kama boma la kiwatengu tarangile
Naomba nihesabu kura
unatutesa punguza pm zako...
umeambiwa nini niambie basiwe jitetee tu.....mie sababu nishaambiwa
unatutesa punguza pm zako...
umeambiwa nini niambie basi
aaaah mi ndo nataka hiyo balaaHuyo atakuletea balaa shauriro
wii mi nataka ujaji tu, kushiriki sitaki
aaaah mi ndo nataka hiyo balaa