Miss JamiiForums: Shindano lirudi! Ustaarabu utawale

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
18,585
Reaction score
16,780
Kwa heshima kubwa!

Ninaomba shindano la kumsaka miss Jamiiforums lirejee katika mtiririko wake!Sheria ziwekwe wazi, mambo yawe wazi! Wadhamini wawe wazi na mwisho wa siku washindi wapewe zawadi zao stahiki.

Vigezo na Masharti vikizingatiwa naamini hakuna kitakachoharibika na kama ni utaratibu wa wadhamini, wasubmit sehemu ya udhamini wao kwa Moderator kabla ya shindano kuanza utaratibu wa Poll uweke kwa wale watakaopata mapendekezo mengi zaidi.

Hili shindano lina ladha yake! Let bring it back.

CC: Arushaone,

Waliowahi kushiriki wasishiriki tena!

Hawa hapa chini napendekeza washiriki, kwa sababu hawajawahi kushiriki.

CC; Khantwe, Honey Faith, atoto, 'Valentina' miss chagga, cute b, Kasinde, janeth1....

Nawategemea kwenye huu mchakato.

Na wadada wengine wote!
 
hahahahahaha safi sana mi ni mdada ila sitashiriki nitakaa kupigia kampeni hahaha
 
Sasa titajuaje kama ana vigezo vya kuwa miss, au wataweka pics zao, angalau kuwe na uhalisia kidogo

Miss wa hapa, hatutaangalia Physical appearance mkuu..
miss ilimradi tu awe mdada!! na awe tayari kushiriki.
 
all time miss jamii forums hapa ni Michelle tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…