Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,012
- 23,633
Hahaha. Nashukuru bana. Ila mi watanihonga na mashindano hayatakuwa ya haki tena.Mkuu uko vizuri!! ukiwa mwanakamati naamini mambo yatakuwa vizuri zaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha. Nashukuru bana. Ila mi watanihonga na mashindano hayatakuwa ya haki tena.Mkuu uko vizuri!! ukiwa mwanakamati naamini mambo yatakuwa vizuri zaidi.
Miss wa hapa, hatutaangalia Physical appearance mkuu..
miss ilimradi tu awe mdada!! na awe tayari kushiriki.
Ha ha ha, shindano litakuwa la wazi mkuu.
Yangu Macho.
vipi wewe hutaki?
Humu kila demu ni mrembo tu
na ana miliki usafiri mkali na Iphone S6.