Miss JamiiForums: Shindano lirudi! Ustaarabu utawale

Miss JamiiForums: Shindano lirudi! Ustaarabu utawale

Miss wa hapa, hatutaangalia Physical appearance mkuu..
miss ilimradi tu awe mdada!! na awe tayari kushiriki.

tutaamini Vipi Mkuu Ikiwa Wengi Wanatumia Id's Fake Zisizo na Uthibitisho wa kuonyesha Jinsia ya Mhusika?
 
Naomba kuwa mwalimu wa washiriki. Hii sehemu niko fiti. Niwafundishe jinsi ya kutembea, kuvaa, kuongea, kukaa, kutabasamu. Etc.

Upande wa wadhamini nimejitokeza sitoshindwa kumsmartisha mshindi.
 
Back
Top Bottom