Miss JamiiForums: Shindano lirudi! Ustaarabu utawale

Nitashiriki na nitaweka na picha.
Kamati ijitqhidi kuandaa zawad nono
 
Miss chagga hoja yake ya mpunga(pesa)sijaona kama imejibiwa uzuri.
 
Hao wote uliowataja ni mabibi bomba hakuna miss hapo
 
Mi nadhani kigezo kikuu kiwe mchango wa mshiriki katika shughuli za kijamiii (jamii ya JF) like;
#1. Kuchangamsha/kuburudisha jukwaa

#2. Kutoa smart comments/analysis

#3. Kusaidia kimawazo watu wenye matatizo maalum (kuachwa, kutendwa, msongo wa mawazo nk)

modality; members wote wapewe fursa ya kupiga kura then panel maalum ita screen the top 10 scorers kupata miss jf
 
Naomba Evelyn Salt awepi ktk category tajwa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom