Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
Bora hapo kura yangu imesha haribika maana badala ya Kasinde umepiga kwa kaside.
Kura yako imeendakwa Heaven Sent.
Bibi yako niko busy na swimming utasema kambale. Haya shindano jema, akipatikana mshindi utaniambia nije kump pongezi.