CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
Sasa titajuaje kama ana vigezo vya kuwa miss, au wataweka pics zao, angalau kuwe na uhalisia kidogo
Mkuu huwa zinapigwa kura tu ndio muamuzi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa titajuaje kama ana vigezo vya kuwa miss, au wataweka pics zao, angalau kuwe na uhalisia kidogo
Hahaha... Round hii lazima ulambe jokernipo pamoja nawe... zawadi za pesa ziwepo lakini
Hilo Taji ni langu no discussion. OverKwa heshima kubwa!
Ninaomba shindano la kumsaka miss Jamiiforums lirejee katika mtiririko wake!Sheria ziwekwe wazi, mambo yawe wazi! Wadhamini wawe wazi na mwisho wa siku washindi wapewe zawadi zao stahiki.
Vigezo na Masharti vikizingatiwa naamini hakuna kitakachoharibika na kama ni utaratibu wa wadhamini, wasubmit sehemu ya udhamini wao kwa Moderator kabla ya shindano kuanza utaratibu wa Poll uweke kwa wale watakaopata mapendekezo mengi zaidi.
Hili shindano lina ladha yake! Let bring it back.
CC: Arushaone,
Waliowahi kushiriki wasishiriki tena!
Hawa hapa chini napendekeza washiriki, kwa sababu hawajawahi kushiriki.
CC; Khantwe, Honey Faith, atoto, 'Valentina' miss chagga, cute b, Kasinde, janeth1....
Nawategemea kwenye huu mchakato.
Na wadada wengine wote!
Mimi hiyo avatar yako tuuuu!!!Hahaha... Round hii lazima ulambe joker
Nipo hapa hivi....Najitolea kudhamini lakini kwanza niwaone washindani.
Ha ha ha sipo tayarHahaha... Round hii lazima ulambe joker
Hakuna kuonanaNajitolea kudhamini lakini kwanza niwaone washindani.
Bado kwani halijafanyika?teh teh teh...
terms and conditions to be applied!!
Hapana aisee mimi na umisi wapi na wapiBado, na wewe si ni mshiriki?
Hahaha... Round hii lazima ulambe joker