Miss JamiiForums: Shindano lirudi! Ustaarabu utawale

Heaven~kaside

Cc Kasinde my mummy

Bora hapo kura yangu imesha haribika maana badala ya Kasinde umepiga kwa kaside.

Kura yako imeendakwa Heaven Sent.

Bibi yako niko busy na swimming utasema kambale. Haya shindano jema, akipatikana mshindi utaniambia nije kump pongezi.
 
Teh kumbe wazee hatutakiwi kushiriki kasie? Basi me na wewe tujitolee tu kuburudisha live na ekotite siku ya fainali

Hahahahaa jina lako halikutajwa katika list ya wasiotakiwa kushiriki, hivo wewe ni mshiriki na ushapigiwa kura na sumbai

Subiri matokeo.
 
Last edited by a moderator:
Bora hapo kura yangu imesha haribika maana badala ya Kasinde umepiga kwa kaside.

Kura yako imeendakwa Heaven Sent.

Bibi yako niko busy na swimming utasema kambale. Haya shindano jema, akipatikana mshindi utaniambia nije kump pongezi.

Sasa why are you swim wthout calling me...mumy..
 
naomba kujua mwisho wa udada ni umri gani nijaribu kushiriki, ili ikishindikana tuwekd na shindano la bibi bomba
 
Hahahahaa jina lako halikutajwa katika list ya wasiotakiwa kushiriki, hivo wewe ni mshiriki na ushapigiwa kura na sumbai

Subiri matokeo.

Kura yangu ni kwako.... my mumy
 
Last edited by a moderator:
Mmmmmmmmh.....
Akat kura yangu ipo kwakoo....
Kigezo ni kuwa ke.....he he age sioo....

Wengine tunapenda wazeeee.....

Hhahaahaaa weeweee suubhaaiii weeweeeee........................
Ule mkwara-lisation uliopewa na wazee (Lions) wa MMU hujakoma bado eeehh

Shauri yako utakatwa mitama barabarani humo hayaa, usijesema sijakwambia wakati taarifa unayo.

cc: Watu8 :A S wink:
 
Sasa why are you swim wthout calling me...mumy..

Niko na Lions of MMU still you dare to come while am swimming..............!!!?

If so kesho uwepo Azura time sikwambii hivo muda utakao otea utanipata la ukiweza shinda hapo ila litakalokupata usinilaumu that's at your own risk looh hehehee
 
Kura yangu ni kwako.... my mumy

Unaharibu kura yako sasa wewe shiipiiii, mie nimo kwenye list ya walioshiriki last time hivo sitakiwi kushiriki kwenye shindano hili.
 
Kwakweli sisi tukishiriki shindano linakuwa invalid, inabidi tu tuwe watazamaji, unless ni shindano la bibi bomba
 
Last edited by a moderator:
Shem mwaka 2016... usiwaze pesa...

Shem ni hizi shughuli za mwisho wa mwaka.....daah si unajua sisi wauza viwaro ndio muda wa kazi huu...

Sasa shem nisipowaza hela nitakula mawe?
 
Aah kumbe unamwaga chini, basi ngoja tutakuja na atoto

Mambo ya sagura sagura hayo, kitu nikikipiga pasi kama kimetoka botiki, chezea.

Umsihi atoto aje na pesa cash.
Pia mito anakaribishwa kuja kumchagulia mke wake.

Mkitoka hapo mnaenda kwa daddy Kaboom mkachague vyupi...

Hahaha atoto boss wewe, hana longo longo eti. Ntakuja pia na my kaka na my daddy

Tena kwa bei hiyo hata sikopi, ila ingeanzia elfu5 mkopo ungemuhusu, bahati yake.
 
Last edited by a moderator:

Niko na Lions of MMU still you dare to come while am swimming..............!!!?

If so kesho uwepo Azura time sikwambii hivo muda utakao otea utanipata la ukiweza shinda hapo ila litakalokupata usinilaumu that's at your own risk looh hehehee

Unaharibu kura yako sasa wewe shiipiiii, mie nimo kwenye list ya walioshiriki last time hivo sitakiwi kushiriki kwenye shindano hili.

Nmekuambia I'm ready for vita vya damu na nyama....and i see winning is there....

Lions of jf will respect and aknowledge me....

Mummy is everything
 
Sasa shem nisipowaza hela nitakula mawe?

Mambo ya sagura sagura hayo, kitu nikikipiga pasi kama kimetoka botiki, chezea.

Tena kwa bei hiyo hata sikopi, ila ingeanzia elfu5 mkopo ungemuhusu, bahati yake.

Teh teh.....nimefurah kusikia hvyo maana kwa slopee nmekuinulia mikono...
 
Mambo ya sagura sagura hayo, kitu nikikipiga pasi kama kimetoka botiki, chezea.

Tena kwa bei hiyo hata sikopi, ila ingeanzia elfu5 mkopo ungemuhusu, bahati yake.
Teh afu usiombe uulizwe hela ya kiwalo, bila haya unatajaje kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…