Miss JamiiForums: Shindano lirudi! Ustaarabu utawale

Miss JamiiForums: Shindano lirudi! Ustaarabu utawale

Aiseee!

Kama ni kipofu basi leo kaona mwezi, nimefurahi sana ona hii comment yako shemkweee!

Long time no see .....!!!!
Na mimi hii notification imenikuta online!!

...jambo hili lilitokea mara ya mwisho miaka kama 7-6 iliyopita

Nimekumiss...ni muda sana
 
Na mimi hii notification imenikuta online!!

...jambo hili lilitokea mara ya mwisho miaka kama 7-6 iliyopita

Nimekumiss...ni muda sana
Miss you a lot shemkweee!!! mihangaiko ya maisha imetufanya tupotezane atiii
 
Miss you a lot shemkweee!!! mihangaiko ya maisha imetufanya tupotezane atiii
WhatsApp bana...imepoteza watu chitchat 😂(Jokes)

Ni kweli Shemkwe...watu tunakimbizana na maisha,kikubwa uhai na kazi ziendelee
 
Back
Top Bottom