Miss Kenya na tuhuma za dhuluma dhidi ya mamiss wa Afrika

tangu hzi miis zianze hapa tanzania hajawahi patikana mshindi,. si tuache hata kama ni bidii tumefanya tuweke mikono juu tu surrender
Vipi kuhusu Nancy Sumari?
 
Huyu mdada ni too naive. .angetakiwa kuwa street smart. ..duh hebu tuwe aggressive katika issues ambazo tunapenda kuzifanya....hallo!
 
Bas aachane na hizo project coz ashapigwa tobo now aungane na watanzania kuwaondoa hawa miccm
 
Miss machakos County ako sawa kuliko miss TANZANIA WORLD...

Miss Machakos County Kenya world
Nairobi City photoshoot



Mi tanzania Majungu kila korna Kenya sio adui wenu nyie wenyewe ndio maadui wenu

If kenyans have made it mpaka washington DC ku valisha ma miss-es Mbona wasifanye chao
 
Reactions: MC7
she basically sums up tanzanian attitudes and mindset ,very revealing
na nani aliwafundisha hii kutwang kiswahili kama kiingereza ya marekani, is that how their youth speak?
 
Miss world Kenya EVELYNE NJAMBI

As miss Tanzania Keeps Hating Fellow miss East africans Below miss Uganda miss Sri lanka and miss Kenya Repping EA proudly with love

I love ugandans hawana majungu

Miss uganda and miss Kenya below

In the video above miss tanzania says fellow african contestants didnt like miss kenya i wonder who are these "africans" considering all africans are here below celebrating miss kenyas achievements


Miss Kenya world hana Majungu She is repping EA PROUDLY IN USA



Miss Kenya Evelyne Njambi
 
Previous miss kenya

If am not mistaken

Roshanara Ibrahim


Ambassodor Amina Mohamed Kenyas Foreign Office CS


Huddah monroe Pekee yake mrembo kuliko miss Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…