Miss Kenya na tuhuma za dhuluma dhidi ya mamiss wa Afrika

Mmmmmh!!...yet miss kenya was number 4 out of 117 countries

Miss tanzania was 78 uuuuuuwf!!

Kweli standards za tanzania ni top notch sawa sawa

[emoji108][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Basi sasa, you had your fun, it time for a cup of cocoa primo ieshhh.....

3c9fcae7fe60c4385fbd2cfa5ab2c7d1.jpg
 
Hichi kitoto japokuwa ni kishamba lakini pia kinaponzwa zaidi kiburi cha kimasai.. nakitabiria kitaharibu sana hadi yule kahaba sijui ndio wema aonekane mstaarabu
Simfahamu lakini navyoona na kusoma vutuko vyake nadhani uko sahihi.
 
The previous miss world Kenya was relieved from her duties... If she was the one there angechukua
 
She was dethroned coz of romours going around Kenya didn't want to risk so evelyn njambi replaced her
f3869fd0e2d99e99e72cde73603411cd.jpg
7ba845be424356830c2cdf03cb96e500.jpg
df962a97846514eb6b46c302de8f6d9b.jpg
199c86217b5e86cf9054bd061e14d1b6.jpg
77a4c055e8309ce6013c5a4b2034ab2b.jpg
bb56f5e00377cad9915dffa934e2f600.jpg
 
mkenya popote anapoenda duniani akikutana na mtz huwa anatafuta ni eneo gani nitamdestroy. nimesoma na wakenya kadhaa ulaya na ndio walikuwa maadui wangu wakubwa kuliko wazungu. wazungu tulikuwa tunaelewana mno lakini mkenya atafanya juu chini hata kuharibu hata mahusiano uliyo nayo na wengine kwasababu tu wewe ni mtz. wakenya nafikiri wameumbwa kupambana na watz. nasema toka moyoni kabisa, hii kitu wanayo sana.

moyoni gani hapo, tabia za kulamba wazungu miguu ndio kuelewana nao.mtz utafuata upate nini. unafuata mtu aliyefaulu kukuliko sio wakuregesha ulikotoka! style up bwana!!. huyu dada anamlaumu miss kenya kwani huyu miss kenya alikuamshiriki na jaji kwa mpigo. bure kabisa. msichana wa watu ametokea namba nne duaniani hata hauoni aiba na lalama zako!! hiyo documentary anasemea si lazima zipelekwe kwa judges wamue mshindi. mambo mengine hayana mikono wale miguu!!!
 
I watched and listened to her and i was like really!??? That is all Tz could get for a miss world competitor?????
 
Soo depay am wondering how she expressed herself coz she could not even connect 5 sentence without adding kiswahili inside we call it sheng or broken English Hahaha
 
Wa tz mizobao mkenya akitaka ku shinda chochote lazima atumie udhaifu wa mtanzania , hata kiwanda cha magari kitajengwa kwao, tumepoteza nafasi za ajira za watu wetu.
 
Soo depay am wondering how she expressed herself coz she could not even connect 5 sentence without adding kiswahili inside we call it sheng or broken English Hahaha
English diehard, umetumwa na wazungu?
 
mkenya popote anapoenda duniani akikutana na mtz huwa anatafuta ni eneo gani nitamdestroy. nimesoma na wakenya kadhaa ulaya na ndio walikuwa maadui wangu wakubwa kuliko wazungu. wazungu tulikuwa tunaelewana mno lakini mkenya atafanya juu chini hata kuharibu hata mahusiano uliyo nayo na wengine kwasababu tu wewe ni mtz. wakenya nafikiri wameumbwa kupambana na watz. nasema toka moyoni kabisa, hii kitu wanayo sana.

Pwahahahahahahahha!.........😀😀😀😀😀😀!
Hapo pekundu ,umenichekesha kweli kweli.
 
English diehard, umetumwa na wazungu?
You know, let me tell you something you already know, you sound stupid and ilitrate... coz even
When something which is not debatable or does not concern you, you will always find something foolish to say... Like now
 
Yes, and especially when I read some disgusting posts from uncircumcised kenyans like you.
When you think speaking White mans Language make you better then I pity you. And I doubt your reasoning as well.
 
Kilichomponza huyu wetu ni kutoweza kujieleza! Wenzetu wanjua kujieleza, labda angejieleza kwa Kiswahili! Ameniudhi anavyochanganya lugha wakati yuko nyumbani. Kama documentary uliandaa wenyewe ulishindwa nini kujieleza unabaki kulialia tu kwenye media. Rudi nyumbani tu uanze kuuza mbunye kama akina Wema!
 
Wanawake wengi wa Kenya ni kama midoli! Kwenye kundi la wanawake 10 wa Kenya ni ngumu sana kupata wazuri wawili! Wazuri utawapata kwa Wakikuyu tu! Kwingine kote ni majanga!!
 
Tihahahhaaaaa.... Na wakenya hao ambao wanafanana midoli wamekuwa namba nne duniani and ugly Danganyikans were number 78......Duh...Wadanganyika wengi tuu ni kama Ngiri... Halafu wako in denial.
 
Yes, and especially when I read some disgusting posts from uncircumcised kenyans like you.
When you think speaking White mans Language make you better then I pity you. And I doubt your reasoning as well.
Ati uncircumcised??????? Kweli wewe ni danganyika....
 
Wanawake wengi wa Kenya ni kama midoli! Kwenye kundi la wanawake 10 wa Kenya ni ngumu sana kupata wazuri wawili! Wazuri utawapata kwa Wakikuyu tu! Kwingine kote ni majanga!!

121916_gray2.jpg

last time i checked was not a kenyan no. 4 duniani na miss africa 2016. na kwa wanaume kenya ikawa mr africa!! i think the judges in new york were very blind wasiowaone hawa malaika wa tz. the fact is porojo na umbea mtanzania siku zote atapata no. 1!!!! your are all talk but no game. debe tupu na makelele mengi!!!!
 
Back
Top Bottom