Miss Mexico, Venessa Ponce atwaa taji la Miss World 2018. Miss Uganda Atwaa Miss World Africa

Tanzania muwepo!!!!??? kwa lugha ipi ya mawasiliano? au zile verse wanazo kariri hapo bongo ukiwabadilishia swali wanabaki !!you know!!!!!you know!!!!!you know!!!
 
Tanzania mchezo wetu ni big brother.. huko tunashinda sababu kuna pombe na ngono... michezo ambayo haihusishi pombe wala ngono lazima tuwe wasindikizaji tu
 
Sijaona mpinzani wake maana top 15 hamna mwafrika zaidi yake,top 30 ndio kuna nigeria na south afrika. Tusisingizie bahati binti katimiza vigezo vya nje kwa sie watazamaji na vigezo vya ndani vya majaji na waandaaji. Kama nancy alivyojituma binti nae alijiongeza katujituma na kutumia fursa alizozipata. Kuhusu kura tunachanganyana tu mara kura zilimsaidia miss uganda mara hazisaidii,lilian hakuwa na vigezo basi tu figisu figisu za ludenga na sitti mtemvu
 
Hivi kwanini huwa hawamtumii Nancy jamani akawapa vi tip 2 au 3 kuhusiana na hayo mashindano???
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Tanzania muwepo!!!!??? kwa lugha ipi ya mawasiliano? au zile verse wanazo kariri hapo bongo ukiwabadilishia swali wanabaki !!you know!!!!!you know!!!!!you know!!!
 
Pesa pesa kumvuta nancy inahitaji hela hakunaga cha bure duniani
Hivi kwanini huwa hawamtumii Nancy jamani akawapa vi tip 2 au 3 kuhusiana na hayo mashindano???
 
CONTINENTAL QUEEN WINNERS

Miss World Europe - Maria VASILEVICH (Belarus)
Miss World Caribbean - Kadijah ROBINSON (Jamaica)
Miss World Americas - Solaris BARBA (Panama)
Miss World Africa - Quiin ABENAKYO (Uganda)
Miss World Asia and Oceania - Nicolene Pichapa LIMSNUKAN (Thailand)
 
Ushahawi sikia Miss World anatoka Afrika?

Wenzetu ukitaja Afrika, hawahesabihi kama ni duniani..

Sisi tunashiriki tu washindani ni wao...ndio maana imeaandaliwa kipengele cha miss world Africa ili kunyamazisha midomo.
[emoji1][emoji1][emoji1] jamani. Ndo yale yale ya kupewa tuzo backstage.
 
Agbani Darego, MFR[4] (born Agbani Asenite Darego,[5][6][7] 22 December 1982) is a Nigerian model and beauty queen, best known as the first native African to win Miss World. Source Wikipedia
 
Pesa pesa kumvuta nancy inahitaji hela hakunaga cha bure duniani
Wajipange wawe wanamshirikisha hata katika maamuzi ya umiss maana ye ndo alitutoa kimasomaso.
 
Miss nigeria mmoja ashawahi kuwa Miss world
Mhh labda utakuwa umechanganya na Miss Lagos.

Ila hakuna muafrika kutoka bara la Afrika amewahi kushida Miss World.

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Agbani Darego, MFR[4] (born Agbani Asenite Darego,[5][6][7] 22 December 1982) is a Nigerian model and beauty queen, best known as the first native African to win Miss World. Source Wikipedia
Ameshinda Mwaka gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…