Miss Mexico, Venessa Ponce atwaa taji la Miss World 2018. Miss Uganda Atwaa Miss World Africa

Miss Mexico, Venessa Ponce atwaa taji la Miss World 2018. Miss Uganda Atwaa Miss World Africa

Miss Mexico Venessa Ponce yatwaa taji la Miss World 2018, huku Miss Uganda akitwaa taji la Miss World Africa.View attachment 960872

Mashindano ya Miss World yamemalizika huko China kwa mrembo kutoka nchini, Mexico Venessa Ponce De Leon kutwaa taji la Miss World 2018.View attachment 960868

Top 5 continental winners ni Mexico – Americas Thailand – Asia/Occenia Uganda – Africa Jamaica – Caribbean Belarus – Europrle View attachment 960873>>TANZANIA HATUPO
Tanzania muwepo!!!!??? kwa lugha ipi ya mawasiliano? au zile verse wanazo kariri hapo bongo ukiwabadilishia swali wanabaki !!you know!!!!!you know!!!!!you know!!!
 
Tanzania mchezo wetu ni big brother.. huko tunashinda sababu kuna pombe na ngono... michezo ambayo haihusishi pombe wala ngono lazima tuwe wasindikizaji tu
 
Sijaona mpinzani wake maana top 15 hamna mwafrika zaidi yake,top 30 ndio kuna nigeria na south afrika. Tusisingizie bahati binti katimiza vigezo vya nje kwa sie watazamaji na vigezo vya ndani vya majaji na waandaaji. Kama nancy alivyojituma binti nae alijiongeza katujituma na kutumia fursa alizozipata. Kuhusu kura tunachanganyana tu mara kura zilimsaidia miss uganda mara hazisaidii,lilian hakuwa na vigezo basi tu figisu figisu za ludenga na sitti mtemvu
Mimi nimelifatilia Hilo shindano kingereza sio kigezo as long as unaongea ueleweke no problem maana kule hawatafti linguistic au mwingireza. Ingekuwa hivo Uingereza ingeshinda daily. Hafu kura nayo sio kivile lilian kamazima alipigiwaga kura na hakufika mbali. Miss Uganda bahati na challenge aliyoshinda na kwa Africa lazima angeingia tu though kawa number nne. Hafu Nancy naye kilicho msaidiaga alikuwa anajituma sana kwenye hizo challenge ndo iliyo mu boost mpaka top five
 
Hivi kwanini huwa hawamtumii Nancy jamani akawapa vi tip 2 au 3 kuhusiana na hayo mashindano???
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Tanzania muwepo!!!!??? kwa lugha ipi ya mawasiliano? au zile verse wanazo kariri hapo bongo ukiwabadilishia swali wanabaki !!you know!!!!!you know!!!!!you know!!!
 
Pesa pesa kumvuta nancy inahitaji hela hakunaga cha bure duniani
Hivi kwanini huwa hawamtumii Nancy jamani akawapa vi tip 2 au 3 kuhusiana na hayo mashindano???
 
CONTINENTAL QUEEN WINNERS

Miss World Europe - Maria VASILEVICH (Belarus)
Miss World Caribbean - Kadijah ROBINSON (Jamaica)
Miss World Americas - Solaris BARBA (Panama)
Miss World Africa - Quiin ABENAKYO (Uganda)
Miss World Asia and Oceania - Nicolene Pichapa LIMSNUKAN (Thailand)
 
Ushahawi sikia Miss World anatoka Afrika?

Wenzetu ukitaja Afrika, hawahesabihi kama ni duniani..

Sisi tunashiriki tu washindani ni wao...ndio maana imeaandaliwa kipengele cha miss world Africa ili kunyamazisha midomo.
[emoji1][emoji1][emoji1] jamani. Ndo yale yale ya kupewa tuzo backstage.
 
Agbani Darego, MFR[4] (born Agbani Asenite Darego,[5][6][7] 22 December 1982) is a Nigerian model and beauty queen, best known as the first native African to win Miss World. Source Wikipedia
 
Miss nigeria mmoja ashawahi kuwa Miss world
Mhh labda utakuwa umechanganya na Miss Lagos.

Ila hakuna muafrika kutoka bara la Afrika amewahi kushida Miss World.

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Agbani Darego, MFR[4] (born Agbani Asenite Darego,[5][6][7] 22 December 1982) is a Nigerian model and beauty queen, best known as the first native African to win Miss World. Source Wikipedia
Ameshinda Mwaka gani?
 
Back
Top Bottom