Nimetoka WP. Sijaona mwenye ngozi nyeusi kushinda MW.Agbani Darego, MFR[4] (born Agbani Asenite Darego,[5][6][7] 22 December 1982) is a Nigerian model and beauty queen, best known as the first native African to win Miss World. Source Wikipedia
Kuna vijipengere pengere vidogo tofauti sana vya Miss World..Tanzania muwepo!!!!??? kwa lugha ipi ya mawasiliano? au zile verse wanazo kariri hapo bongo ukiwabadilishia swali wanabaki !!you know!!!!!you know!!!!!you know!!!
Sijaona mpinzani wake maana top 15 hamna mwafrika zaidi yake,top 30 ndio kuna nigeria na south afrika. Tusisingizie bahati binti katimiza vigezo vya nje kwa sie watazamaji na vigezo vya ndani vya majaji na waandaaji. Kama nancy alivyojituma binti nae alijiongeza katujituma na kutumia fursa alizozipata. Kuhusu kura tunachanganyana tu mara kura zilimsaidia miss uganda mara hazisaidii,lilian hakuwa na vigezo basi tu figisu figisu za ludenga na sitti mtemvu
Ameshinda Mwaka gani?
Hakuna siku katika dunia hii mtu mweusi atakuwa Miss World au kuwa Papa.Kuna watu watasema blacks wamefanyiwa figisu
Hivi kwanini huwa hawamtumii Nancy jamani akawapa vi tip 2 au 3 kuhusiana na hayo mashindano???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna siku katika dunia hii mtu mweusi atakuwa Miss World au kuwa Papa.
Tushukuru at least Muhammad Alli, Abedi Pele na Nelson Mandela wametupa nuru ya kutambulika vizuri kidunia.
Wazungu wabaguzi sana aisee!Google Miss world 2001 utamuona huyo mnaijeria
Weusi huwa wanaingia tu top five basi Ili kupoza machunguWazungu wabaguzi sana aisee!
Hawajamuweka kabisa kwenye wikipedia.
Ila nini? Hii walitupa tu kuvunja maneno ya figisu figisu..
Ukizaa mtoto mmoja, ghafla ukatoka mara moja kwenda gengeni. Kurudi ukarudi na Machngwa mawili kwa ajili ga mwanao cha kushangaza ukakuta watoto 2 wa jirani ya utafanyeje?
Utawapa chungwa moja moja wale watoto wawili wa jirani yako na kuwaambia wamkatie mwanao nusu nusu. By default mwanao atakuwa amekula chungwa zima moja. (Ndicho wazungu walichofanya 2001)
Miss TZ ni mkurya?? au mhaya?? mbona mbaya hivi... havutii hata kupigiwa kura...!? Jiuze kabla hauja uzwa...! Huyu hauziki aliuzika Mlimani city...!Na aliyemshonea hili gauni Miss wetu haendi mbinguni [emoji852][emoji852]View attachment 960958
Mfano mzuri sanaWazungu wabaguzi sana aisee!
Hawajamuweka kabisa kwenye wikipedia.
Ila nini? Hii walitupa tu kuvunja maneno ya figisu figisu..
Ukizaa mtoto mmoja, ghafla ukatoka mara moja kwenda gengeni. Kurudi ukarudi na Machngwa mawili kwa ajili ga mwanao cha kushangaza ukakuta watoto 2 wa jirani ya utafanyeje?
Utawapa chungwa moja moja wale watoto wawili wa jirani yako na kuwaambia wamkatie mwanao nusu nusu. By default mwanao atakuwa amekula chungwa zima moja. (Ndicho wazungu walichofanya 2001)
Miss TZ ni mkurya?? au mhaya?? mbona mbaya hivi... havutii hata kupigiwa kura...!? Jiuze kabla hauja uzwa...! Huyu hauziki aliuzika Mlimani city...!
TrueMiss TZ ni mkurya?? au mhaya?? mbona mbaya hivi... havutii hata kupigiwa kura...!? Jiuze kabla hauja uzwa...! Huyu hauziki aliuzika Mlimani city...!
True
Hii biashara nchi yetu Tz tuachane nayo maana tumekuwa wasindikizaji tu!
Kijigari chenyewe anachopewa ni aibu tupu walahi
Kwa taarifa yako top five Africa this year imeingiza wawili tena weusi walikuwa watatu top five mwingine alikuwa Caribbean. Na kilichompa huyo Uganda ni kuwin hyo challenge kitu ambacho kiliwaingiza na wengine I know ur team zari lazima utie bwembwe Ili ionekane was perfect hafu hivo vtu huenda kwa zamu tu kipindi cha Diana flave miss Kenya alikuwa miss world Africa. So hyo ya kusema eti best si kweli maana kawa wanne
Wazungu wabaguzi sana aisee!
Hawajamuweka kabisa kwenye wikipedia.
Ila nini? Hii walitupa tu kuvunja maneno ya figisu figisu..
Ukizaa mtoto mmoja, ghafla ukatoka mara moja kwenda gengeni. Kurudi ukarudi na Machngwa mawili kwa ajili ga mwanao cha kushangaza ukakuta watoto 2 wa jirani ya utafanyeje?
Utawapa chungwa moja moja wale watoto wawili wa jirani yako na kuwaambia wamkatie mwanao nusu nusu. By default mwanao atakuwa amekula chungwa zima moja. (Ndicho wazungu walichofanya 2001)
Mbona kuna miss world America ?
Ushahawi sikia Miss World anatoka Afrika?
Wenzetu ukitaja Afrika, hawahesabihi kama ni duniani..
Sisi tunashiriki tu washindani ni wao...ndio maana imeaandaliwa kipengele cha miss world Africa ili kunyamazisha midomo.