Miss Mexico, Venessa Ponce atwaa taji la Miss World 2018. Miss Uganda Atwaa Miss World Africa

Katika ma miss waliokosa mvuto wa kimavazi Tanzania tuliongoza mwaka huu yaan ni aibuuu.

Miss mzuri mavazi yake yooote na hair style mbovu hakukaa kimiss world hata kamara zilikua zikimkimbia.

Pia miss Tanzania hakua na project ya maana wala sera za ushawishi, ulokole umemzidi.

Kwakua dada basila kaaza basi aombe ushauri kwa kina nancy na wengine wafahamu miss world wanataka nn.
 
Na hii alishinda kutokana hata mashindano yalifanyika Africa .
 
Ukifatilia miss World ni Kama mchezo wa kupokezana vijiti, sio Tanzania tu kuna nchi kibao ambao washiriki wake hawafanyi vizuri kila wanaposhiriki na sio kwa sababu ya washiriki hawana vigezo vya kutosha kwa sababu ni mchezo wa kupokezana, mfano Kenya waliibuka kidedea mwaka Jana unaweza ikawachukua takribani miaka kadhaa kuibuka tena.

Nigeria tokea iliposhinda miss world 2001 ni miss yupi wa Nigeria alishashinda tena??

Tanzania tokea Nancy sumari ni lini ilishika hiyo nafasi tena??

Kikubwa Yale mashindano ni kuwafungulia fursa mabinti wale wanaoshiriki wawe watu Fulani kwenye jamii zao wanazotoka. Watumie fursa waliyoipata kujitegema na kutimiza ndoto zao za kimaisha.
 
We are moving on the right track
 
Zile kura walikua wanapiga wabongo zimesaidia nini,alafu katika zile huyo mshindi sikuona kura zake
 
Ushahawi sikia Miss World anatoka Afrika?

Wenzetu ukitaja Afrika, hawahesabihi kama ni duniani..

Sisi tunashiriki tu washindani ni wao...ndio maana imeaandaliwa kipengele cha miss world Africa ili kunyamazisha midomo.
Nigeria na South Africa wamewahi shinda. And Nigeria ni 2000 if not 2001
 
Una point mimi huwa nafatilia miss world ndo mchezo wa kupokezana flani hivi ndo mana top five huingia mabara yote. Hata Nancy sumari alishinda kuwakilisha bara la Africa. Hata wa Uganda, kipindi cha kina Diana flave, mkenya ndo aliwakilisha bara la Africa I wonder wanao mponda miss wetu. Kwanza umiss ni platform nzuri kwa washindi kuitumia
 
Mwanzo mbona ulikuwa una force or vigezo sijui kingereza miss world kuingia top five huwa ni rotation tu kwa kila nchi. Mbona wa Uganda mubovu tu kisura ka Diana flave.
 
Kuna mwaka india walishinda 2 years consecutively... 1999 na 2000 if am not mistaken.... na hapo ni kupokezana vijiti?
Mashindano ni mashindano na mshindi lazima apatikane, mashindano yalikua fair sana
 
Ushahawi sikia Miss World anatoka Afrika?

Wenzetu ukitaja Afrika, hawahesabihi kama ni duniani..

Sisi tunashiriki tu washindani ni wao...ndio maana imeaandaliwa kipengele cha miss world Africa ili kunyamazisha midomo.
Kuna mwaka alitoka Nigeria, the following year wakaenda kufanyia kule, wakatolewa nduki na waislam wa msimamo mkali. Try to google utaona.
 
Kuna mwaka india walishinda 2 years consecutively... 1999 na 2000 if am not mistaken.... na hapo ni kupokezana vijiti?
Mashindano ni mashindano na mshindi lazima apatikane, mashindano yalikua fair sana
Tokea hapo India ilishashinda tena?
 
Kuna mwaka india walishinda 2 years consecutively... 1999 na 2000 if am not mistaken.... na hapo ni kupokezana vijiti?
Mashindano ni mashindano na mshindi lazima apatikane, mashindano yalikua fair sana
Hyo ni rare case sana nowadays top five inaingiza mabara yote mbona
 
Tanzania hatunengenezi mamiss. Mbna watoto wazur wapo tu wakali.
 
Hata mkitafuta Top 99 ya kwenu mtapekua na kupekua lakini hamtaipata.
 
Hakuna siku katika dunia hii mtu mweusi atakuwa Miss World au kuwa Papa.

Tushukuru at least Muhammad Alli, Abedi Pele na Nelson Mandela wametupa nuru ya kutambulika vizuri kidunia.
Kuna shinda la Miss wirld likifanyika South Afrika, mshindi alikua anaitwa Nanji kutoka Nigeria. Unaiongeleaji hiyo maana Tayari ameshakua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…