Mwanzo mbona ulikuwa una force or vigezo sijui kingereza miss world kuingia top five huwa ni rotation tu kwa kila nchi. Mbona wa Uganda mubovu tu kisura ka Diana flave.
To me miss Uganda na Diana flave wamefanana kila kitu no different though mmoja kawa miss world AfricaMkuu kubali tu umebug kulazimisha Miss uganda aonekane hana sifa ya taji hilo vigezo vyote alipita,english tamu,diana mzuri kilichomuangusha uzoefu na utoto,lugha zero etc. Hakuna rotation Miss world ni ushindi halali wa mtu. Msidanganyane na kujipa matumain ya rotation. Pili uling'ang'ania sana kusema carribean ipo afrika,uwe unagoogle kwanza.
Top 12 hakuna mwafrika pyuuua zaidi ya Miss uganda,yule mcarribean ana asili ya kiafrika but sio raia wa afrika.
Hehehe 2017 alikua miss India, Inshort india na venezuela wameshinda 6 times eachTokea hapo India ilishashinda tena?
Mimi sijasema miss Uganda mubaya wewe ulikuja kiushabiki hafu ma miss wote mbona wazuri. Huyo miss Caribbean haiko Africa lakini mweusi. My point based on color so huyo ni mwa Africa kwa rangi though bara tofauti. Ngoja uone mwakani inavokuwa, mie miss world nafatilia tangia enzi za utoto so mtu kushinda sio kwamba ni bora bahati pia hubeba hayo ya kujiamini sijui nini, ni rotation flani understand the facts ndo mana top five mabara yalikuwa matano. To me miss Uganda na Diana flave wamefanana kila kitu no different though mmoja kawa miss world Africa
Mabara yapo 7 wakiunganisha Europe na Asia yanakua 6...Hyo ni rare case sana nowadays top five inaingiza mabara yote mbona
Hapana tatizo ulikurupuka na comment za insta mpaka kumtaja zari nilikushangaa sana,tujifunze kubishana kwa fact bila kuingiza uteam,pia rudia comment zako uone ulivyoipondea sura ya miss uganda.
Usiruke comment zako,kuwa mweupe au mweusi haikuweki bara lisilo lako,mwanzo ulikua unabisha miss ug kuwa peke yake toka afrika top 12 hadi top 5. Kuhusu kufatilia tangu utoton sio hoja ya msingi na kama ingekua hoja basi ungefahamu kuwa south afrika ilishashinda taji la miss world mara 3 bila kutoa rotation kwa nchi nyingine za afrika ukitoa nigeria.
Kisha nenda account ya miss uganda,halafu fatilia ya diana uje uangalie comment yako,hao wawili wana tofauti kubwa sana.
Mabara yapo 7 wakiunganisha Europe na Asia yanakua 6...
hakuna mambo ya kijiti anaestahili anapewa.
Kwahiyo let say TZ angeshinda mwaka huu then January wachague mwingine wamnoe till mashindano awe the best kuliko wote wamnyime kisa TZ ilishinda 2018...... hahaha common sense jamani
No research no right to speak. Vigezo vipo wazi na vinaboreshwa every now and then kuondoa bias.. but mambo ya kijiti big no. Huwezi jifananisha na mtu ameandaa mrembo 7 months before the competitionHapana tatizo ulikurupuka na comment za insta mpaka kumtaja zari nilikushangaa sana,tujifunze kubishana kwa fact bila kuingiza uteam,pia rudia comment zako uone ulivyoipondea sura ya miss uganda.
Usiruke comment zako,kuwa mweupe au mweusi haikuweki bara lisilo lako,mwanzo ulikua unabisha miss ug kuwa peke yake toka afrika top 12 hadi top 5. Kuhusu kufatilia tangu utoton sio hoja ya msingi na kama ingekua hoja basi ungefahamu kuwa south afrika ilishashinda taji la miss world mara 3 bila kutoa rotation kwa nchi nyingine za afrika ukitoa nigeria.
Kisha nenda account ya miss uganda,halafu fatilia ya diana uje uangalie comment yako,hao wawili wana tofauti kubwa sana.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Au Deo Kisandu.
Mie sijakurupukia za instagram comments wewe ulikuwa wa force hata zari niliona ka post eti vile alikuwa patron sio whatever wali choose better sasa miss world sio ku choose better ni zamu ikifika ikifika. Kwahyo na enzi za kina Nancy na mange je.
Mimi kwangu mtu mweusi ni mweusi tu hata akiwa America au ulaya kwangu ni mweusi tu. Africans for Africans at home or abroad. (Marcus Garvey). Ndio nimefatilia mda mana mlianza blame our miss Tanzania sijui kingereza nikawambia miss world hawaangalii lugha kule hyo minor issue.
Kumuonea tu huyo miss mbona wengine Mia moja wamerudi nyumbani hafu Yale ni ma shindano why blaming our own Tzii. Mie nasemea weusi wa color na sio kuchukua taji la miss world.Ona sasa mara hujakurupukia comment za insta mara umeona zari kapost,Ndio maana nakwambia ulikurupuka kwa comments za insta,mange,zari wameingiaje hapa?kwani walishawahi kuwa mamiss?
Yeah Miss Tanzania kakosa vingi,blame lazima azipate,maana suala la kupiga kura mwanzo ulisema aliangushwa na kura mara ukabadilika kura si chochote mkuu kuwa na msimamo basi ueleweke.
Kwako ni mweusi lakini huwez lazimisha achukue taji la afrika wakati haiwakilishi afrika. Kikosi cha France kilichochukua ubingwa world cup 2018 asilimia kubwa ya wachezaji wana asili ya kiafrika ila haimaanishi waafrika ndio walioshinda world cup bali washindi ni wafaransa
No research no right to speak. Vigezo vipo wazi na vinaboreshwa every now and then kuondoa bias.. but mambo ya kijiti big no. Huwezi jifananisha na mtu ameandaa mrembo 7 months before the competition
Lakini top five huingia mabara yote na bara Asia iliunganishwa jana. It's rotational flani hivi. Kwanza miss wote huwa ni wazuri Ila lazima apatikane mmoja wa kutwaa taj
Prove kama kuna rotation, hivi huoni kwamba hata hayo mabara yanawakilishwa na nchi? Na mshindi anawakilisha nchi before everything else, top 5 mshindi anachaguliwa kulingana na uwezo sio rotation. Kama vipi mexico waache kupeleka washiriki mpaka kijiti kiwafikie.
Kumuonea tu huyo miss mbona wengine Mia moja wamerudi nyumbani hafu Yale ni ma shindano why blaming our own Tzii. Mie nasemea weusi wa color na sio kuchukua taji la miss world.
Shangaa... wenzetu wanachagua mshindi mpaka March huko uje ujicompare na wewe umechagua 2 months before. Tanzanians are always quick to blame and spot excuses.Huwezi kueleweka mkuu. Watanzania tumejaa figisu figisu kila kona. Shindano lenyewe huku nchini duni sana mshindi anapatikana kwa mizengwe balaa,Maandaliz hafifu halafu mtu anakuja singizia rotation
Aiseeee tayari tushajihesabu failure kwa kisingizio cha mbona hao mia wamerudi majumban. Miss Tanzania kielelezo cha ubovu wa watanzania
Hio ya weusi bana rudia koment zako uone ulivyoshikilia colour colour isikuzuzue ndani wana utamaduni wao huko uafrika hata hawaufahamu.
Hata miss Tanzania sio mbovu na nchi yetu nzuri tu miss world mshindi huwa mmoja tu why ku blame Watanzania na blah blah za ubovu na visingizio. Tanzania kamwe sio mbovu labda wewe uwe mkenya mwenzangu
hehehe eti ngozi karne hii tena kwenye mashindano kama hayo... kuna mwingine kasema miss Africa ni kutufariji anasahau mabara yana wawakilishi, tabia ya kulalamika ikizidi hata uwezo wa kuchanganua facts unapungua kama sio kuishaAiseeee tayari tushajihesabu failure kwa kisingizio cha mbona hao mia wamerudi majumban. Miss Tanzania kielelezo cha ubovu wa watanzania
Hio ya weusi bana rudia koment zako uone ulivyoshikilia colour colour isikuzuzue ndani wana utamaduni wao huko uafrika hata hawaufahamu.
Shangaa... wenzetu wanachagua mshindi mpaka March huko uje ujicompare na wewe umechagua 2 months before. Tanzanians are always quick to blame and spot excuses.
Am certain Ugandans wamepiga kura mno then mrembo wao akamalizia kwenye zile challenges (sababu why asishinde Nigeria na wale wana population na mwamko mkubwa kuliko east Africa?) Common sense is not common mama