Miss Natafuta live interview on DJ sepetu show!

yeyote Mwenyenzi Mungu atakaenipa ,ila namuomba mungu at least,awe mwanaume I mean awe anajua majukumu yake,majukumu ya mwanaume ni kutunza familia kwa kusaidiana na mkewe .pia anipende kwa dhati.mengine tutabadilishana .kila mtu ana mapungufu yake
Mnaotafuta wake chukua mke uyu aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ahaaa usijali dear si unajua penye wengi?
sitafuti mwanaume wa kuwa nae humu ndani mkuu,nipo jf kusocialize kama watu wengine, na kuhusu kupata mwanaume wanaume wapo ila sijapata huku labda hayupo wa fungu langu. kuhusu ubonge wangu sidhani kama ni kweli wanawake wanene hawana wapenzi. kuhusu jinsia yangu kumwa me aliesema ungemuuliza yeye . naswali lako la mwisho sio kila mtu ana mpenzi huku duniani,wala sio swala la lazima so hata kama huna hutakiwi kujiskia vibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…