Ekyoma
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 2,177
- 2,804
Mnaotafuta wake chukua mke uyu aiseeyeyote Mwenyenzi Mungu atakaenipa ,ila namuomba mungu at least,awe mwanaume I mean awe anajua majukumu yake,majukumu ya mwanaume ni kutunza familia kwa kusaidiana na mkewe .pia anipende kwa dhati.mengine tutabadilishana .kila mtu ana mapungufu yake
Sent using Jamii Forums mobile app