Sasa mi mwenzio nikianzia nyuma huwa nashindwa kuunganisha dots. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Anasoma kwanza, ujue ukipitwa parefu unachanganyikiwa kabisaa..... Mie naanziaga mwisho kwanza
Ujue ushammaliza muosha masufuria leo
Nani ni Ben10[emoji15] [emoji15] [emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapana achana na marioo ujue cuzoo huyo Ben 10
achana na huyo mjinga mkuuNaomba Evidence zitawale maana kumpa mtu kashisha ambazo sio ni kumuaibisha ruka na fact kabsa Mkuu watu wakuelewe lakn kuongea theoretical hivyo sio usitaarabu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Apotee mara ngapi sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bado kutekwa tu
AiseeeeNimeshafuta bandiko langu.
Ila ninavyojua mimi huyo ni Me .
Kweli atiii[emoji23][emoji23][emoji23]yaani mnanifurahisha mjue
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mpe siku yake umfanyie interview we muosha masufuria
Ameeenkama nikipata baba bora watatu inshalah
Nimeuliza tu cuzoo jamaan[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nani ni Ben10[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Achana na kitu ubatizo wa maji moto mkuuUjue ushammaliza muosha masufuria leo
leta tuipulize ipoe[emoji15] [emoji15] [emoji15] nyie watoto mmesababisha dudu yangu ikasirike na kusimama kidete...
Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
Woow kumbe muhenga mwenzangumimi ni mwanamke wa kitanzania,muhenga flani hivi nimezaliwa miaka ya mwanzoni kwenye 80s. ni mpole sana achana na hizi drama za nyuma ya keybord
nimetokea katika familia ya kimaskini sana,so naishi maisha simple ya kitanzania.nimeajiriwa .sina familia,sina bwana hata boyfriend sina.Nampenda Mungu sana japo mimi sio mtu wa dini.napenda jiko kuliko chumbani.
marafiki zangu wanasema mimi ni mtu wa sura mbili,naweza kuwa the sweetest person ever ila muda huo huo nikawa ni mtu mbaya kuliko maana sijui kusamehe ukishanikosea basi ni ngumu kunirejesha ila ukiw ana piece na mimi utaenjoy ama the best friend ever
PambanaKama mie mmeniacha tayari
Hatumuelewi leo utafkili sisi ndio yeye kupatwa kwa muosha masufuria[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hati kadi na hiyo nyumba vyote leta hapa utapewa kila kitu Samson wangu[emoji23] [emoji23] aisee ntauza nyumba ya babu ajili yako!
muosha rungu
Bado nasoma wii ntauliza tuHuna swali kweeeli
ndio mama inabidi tufanye jubilee sasa