Miss Natafuta live interview on DJ sepetu show!

naomba kwenye taaluma nisiseme .ila kwa sasa nimeajiriwa .japo nina mradi wangu wa kuku mmoja na vifaranga kumi .nina plan ya kuanzisha mradi mkubwa bado najipanga kuraise capital.
Hongera kwa kuwa na mradi..tueleze Changamoto zipi unapitia kwenye kazi zako..
 
naomba kwenye taaluma nisiseme .ila kwa sasa nimeajiriwa .japo nina mradi wangu wa kuku mmoja na vifaranga kumi .nina plan ya kuanzisha mradi mkubwa bado najipanga kuraise capital.
Why do you matter?

muosha rungu
 
Usijibu sasa maswali ya audience

muosha rungu
 
Vitu gani unapenda hapa JF na vipi unavichukia??
mimi ni disminda flani hivi. kuna vitu huwa navichukulia easy jf sio area yangu ya muhimu sana so huku sichukii lolote .napenda kusocialize na watu tofauti .kupata new ideas .challenges na habari tofautitofauti.uchumi,siasa ,mapenzi.kama unavoijua jf na mambo yake
 
Good good..hobbies na interest zako ni zipi??
 
Miss Natafuta hivi we ni kibonge?
Pia unaweza kunisaidia avatar ya mwanzo kabisa kabla ya kubadili mfumo na kuanza kupost vibonge tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…