Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Hongera kwa kuwa na mradi..tueleze Changamoto zipi unapitia kwenye kazi zako..naomba kwenye taaluma nisiseme .ila kwa sasa nimeajiriwa .japo nina mradi wangu wa kuku mmoja na vifaranga kumi .nina plan ya kuanzisha mradi mkubwa bado najipanga kuraise capital.