Miss Natafuta live interview on DJ sepetu show!

naomba kwenye taaluma nisiseme .ila kwa sasa nimeajiriwa .japo nina mradi wangu wa kuku mmoja na vifaranga kumi .nina plan ya kuanzisha mradi mkubwa bado najipanga kuraise capital.
Hongera kwa kuwa na mradi..tueleze Changamoto zipi unapitia kwenye kazi zako..
 
naomba kwenye taaluma nisiseme .ila kwa sasa nimeajiriwa .japo nina mradi wangu wa kuku mmoja na vifaranga kumi .nina plan ya kuanzisha mradi mkubwa bado najipanga kuraise capital.
Why do you matter?

muosha rungu
 
nina mambo mengi ya kujivunia maishani .kama kuwa na wazazi wazuri,ndugu wazuri wanaonipenda,elimu,afya mengi tu.yapo pia mambo mengi naregret but that's life sina la kufanya wala siyapi nafasi.naangalia mambo mazuri yaliyopo mbele yangu na sio mabaya ambayo yalishapita
Usijibu sasa maswali ya audience

muosha rungu
 
Vitu gani unapenda hapa JF na vipi unavichukia??
mimi ni disminda flani hivi. kuna vitu huwa navichukulia easy jf sio area yangu ya muhimu sana so huku sichukii lolote .napenda kusocialize na watu tofauti .kupata new ideas .challenges na habari tofautitofauti.uchumi,siasa ,mapenzi.kama unavoijua jf na mambo yake
 
Good good..hobbies na interest zako ni zipi??
 
Back
Top Bottom