Miss Natafuta live interview on DJ sepetu show!

Miss Natafuta live interview on DJ sepetu show!

Miss Natafuta hapa ndo unapotofautiana na wadada wengi humu.Upo free mpka Raha!you know what My Man anakupendaga kwa jinsi ulivyo.I dare to say this.Huwa lazima akuongeleeeeee.Na Mimi nilishamgundua.
Una mambo Adimu.Nakwambia tena.
Kiroho safi tu.Wewe ni MTU.Tena Unayejijuaaaa!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
ahaaa kuna mwanamke ambae papuchi sio mtaji wake namba moja bana aaah? hata kama ameweka reserve .nawapenda pia japo siwajui .asanteni kwa kunipenda
 
Kujihusisha nao kimapenzi yaani
nilishawai kujihusisha kimapenzi na wanaume kadhaa
Hongera kwa kuwa na mradi..tueleze Changamoto zipi unapitia kwenye kazi zako..
changamoto ni nyingi. mfano kazi nyingi kipato kidogo,kukosa muda wa kupumzika saa zingine kama wkend unapoitajika ofsini, kuchukiwa na baadhi ya staff bila sababu
Good good..hobbies na interest zako ni zipi??
napenda sana kula kula siwezi kukaa muda mrefu bila kula kwa kweli japo sili portion kubwa
napenda kupika na kujifunza mapishi mapya in town
napenda movies
napenda kuogelea
napenda kusikiliza nyimbo any nice song any style
napenda urembo
napenda sana shoping hata kama ni window shoping
 
nilishawai kujihusisha kimapenzi na wanaume kadhaa
changamoto ni nyingi. mfano kazi nyingi kipato kidogo,kukosa muda wa kupumzika saa zingine kama wkend unapoitajika ofsini, kuchukiwa na baadhi ya staff bila sababu
napenda sana kula kula siwezi kukaa muda mrefu bila kula kwa kweli japo sili portion kubwa
napenda kupika na kujifunza mapishi mapya in town
napenda movies
napenda kuogelea
napenda kusikiliza nyimbo any nice song any style
napenda urembo
napenda sana shoping hata kama ni window shoping
Shukrani sana Miss Natafuta kwa kujibu vizuri maswali yangu.

Mimi nimemaliza sina swali lingine..

Asante kwa ushirikiano wako, ubarikiwe sana!!
 
Nimetokea kukupenda ghagla MissNatafuta kwahiyo inakuwaje?
 
Back
Top Bottom