Nipo aisee, maisha tuOooh
Husomeki kabisaa
Sawa mkuuNipo aisee, maisha tu
ahaaa nilikuwa natania bna.Kuna Uzi mmoja ulisema Ngoja nishushe Engine kwanza.Je ulimaanisha kuna mjanja alikuwai?
Mana sasa unadai huna mpeni
Kuwa mkweli kwa Hapa Miss Natafuta.
Sent using Jamii Forums mobile app
ahaaa kuna mwanamke ambae papuchi sio mtaji wake namba moja bana aaah? hata kama ameweka reserve .nawapenda pia japo siwajui .asanteni kwa kunipendaMiss Natafuta hapa ndo unapotofautiana na wadada wengi humu.Upo free mpka Raha!you know what My Man anakupendaga kwa jinsi ulivyo.I dare to say this.Huwa lazima akuongeleeeeee.Na Mimi nilishamgundua.
Una mambo Adimu.Nakwambia tena.
Kiroho safi tu.Wewe ni MTU.Tena Unayejijuaaaa!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana pacha. Usiku mwema.Nakupenda sana pia kipenzi changu twinnie...alafu ndio naona hii post sasa hivi eti
Hahaaa. Nishaenda tayari.Hahahaha umeenda kule Bibi Faiza?
ni ujinga kumuacha baba watoto kisa tu amegegeda mwanamke mwingine .Mbona umenigeuzia interview shogaa!!!
Inategemea kama ni mume wa ndoa kuna kuteleza japo yauma!!!! Kama ni boy friend tuu wooi
Hii siti ya Josee mkuunipo siti yambele hapa
!Yves V!
nilishawai kujihusisha kimapenzi na wanaume kadhaaKujihusisha nao kimapenzi yaani
changamoto ni nyingi. mfano kazi nyingi kipato kidogo,kukosa muda wa kupumzika saa zingine kama wkend unapoitajika ofsini, kuchukiwa na baadhi ya staff bila sababuHongera kwa kuwa na mradi..tueleze Changamoto zipi unapitia kwenye kazi zako..
napenda sana kula kula siwezi kukaa muda mrefu bila kula kwa kweli japo sili portion kubwaGood good..hobbies na interest zako ni zipi??
Shukrani sana Miss Natafuta kwa kujibu vizuri maswali yangu.nilishawai kujihusisha kimapenzi na wanaume kadhaa
changamoto ni nyingi. mfano kazi nyingi kipato kidogo,kukosa muda wa kupumzika saa zingine kama wkend unapoitajika ofsini, kuchukiwa na baadhi ya staff bila sababu
napenda sana kula kula siwezi kukaa muda mrefu bila kula kwa kweli japo sili portion kubwa
napenda kupika na kujifunza mapishi mapya in town
napenda movies
napenda kuogelea
napenda kusikiliza nyimbo any nice song any style
napenda urembo
napenda sana shoping hata kama ni window shoping
Hapana mkuuAsili ya kwa kagame huko!
asante mkuu nawe shukrani ,sidhani kama kuna swali sijajibuShukrani sana Miss Natafuta kwa kujibu vizuri maswali yangu.
Mimi nimemaliza sina swali lingine..
Asante kwa ushirikiano wako, ubarikiwe sana!!
Yote umejibu hamna shaka bibieasante mkuu nawe shukrani ,sidhani kama kuna swali sijajibu
Hahahaha umeuliza swali kweliHahaaa. Nishaenda tayari.
ahahaaa hata mimi nakupenda mkuu.nataka unigegedeNimetokea kukupenda ghagla MissNatafuta kwahiyo inakuwaje?
Jf appUnatumia browser au JF app?
Jose basi hapo roho yako kwatuuu, enterview ya leo umetendewa hakiYote umejibu hamna shaka bibie