Miss Natafuta live interview on DJ sepetu show!

anhaa asante kwa usahihisho, je utatoa adhabu gani kwa mumeo kama hayo niliyoyasema yametokea
 
Miss natafutaa

Kwanza napenda kukupongeza wewe ni kati ya madem hapa jf nawapenda na kuwakubali

Swali kwako

Unatoka mkoa gani hapa tz

Pili ulishawahi toka njee ya nch

dhuluma na uhasidi ndio chanzo cha umasikini
kuhusu mkoa naomba nisiseme mkuu ila mimi ni mtu wa kaskazini huko.kutoka nje ya tz nilishawai kwenda Kenya na uganda
 
Hapo sawa, umesema kila mtu ana mapungufu yake nakubaliana na wewe je , changamoto za ndoa zikitokea utazijuaje may be mumeo kachepuka au kasahau kulisha familia??
Hivi mwanaume akiacha kulisha familia nikusahau au maamuzi yenye makusudi ndani yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…