Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
sijalelewa hivo kumfuga mwanaume.Miss Natafuta hujapataga tu miaka yote tu hata wakumfuga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sijalelewa hivo kumfuga mwanaume.Miss Natafuta hujapataga tu miaka yote tu hata wakumfuga?
tehe tehe tehekuwajua nawajua si mpo kila mahali mkuu au kuwajua kivipi?
Duuuuhhhmimi ni mwanamke wa kitanzania,muhenga flani hivi nimezaliwa miaka ya mwanzoni kwenye 80s. ni mpole sana achana na hizi drama za nyuma ya keybord
nimetokea katika familia ya kimaskini sana,so naishi maisha simple ya kitanzania.nimeajiriwa .sina familia,sina bwana hata boyfriend sina.Nampenda Mungu sana japo mimi sio mtu wa dini.napenda jiko kuliko chumbani.
marafiki zangu wanasema mimi ni mtu wa sura mbili,naweza kuwa the sweetest person ever ila muda huo huo nikawa ni mtu mbaya kuliko maana sijui kusamehe ukishanikosea basi ni ngumu kunirejesha ila ukiw ana piece na mimi utaenjoy ama the best friend ever
anhaa hapo sawa unawashauri nini wasanii wanaoendekeza bifu na uteam team badala ya kuungana na kuwa kitu kimoja kuufikisha mziki wa Tz mbele??sina team nawapenda wote nawacritisize wote pale inapobidi
Hivi wewe ulisha ji interview mkuu?Nimewaachia wamuulize wao kiu yao iishe kabisa!
muosha rungu
situmii pombe mkuu. inategemea ni mazungumzo gani ,mimi sio muongeaji sana nipo very selective especially na wanaume maana wengi ni waongo mna hila nyingiUnatumia pombe? je upo tayari kwa mazungumzo na mimi?
Hahaha..Ooh shem mbona unaandika kwa haraka hivyo..kuna usalama kweli
Hapa nakuelewa.nitakuwaje na hisia na watu siwajui?
inaweza ikawa ni makusudi sijakataaJose toa jibu
nimeacha mazoezi kidogo nipo busy sana siku hizi nafika nyumbani nimechokaHuwa unafanya mazoezi lakini eee??
Safi saana, nahitaji maongezi na wewe ya kibiashara specially kuhusiana na bidhaa yako hapo chinisitumii pombe mkuu. inategemea ni mazungumzo gani ,mimi sio muongeaji sana nipo very selective especially na wanaume maana wengi ni waongo mna hila nyingi
Hahahahaha nakuona nakuona unaita committee kabisaCc Shunie
Emmyta
Neybright
Youngblood
Carba
Linamo
Stable woman
Ukhuty
Sergio 5
Dada Mbona umejibu hadi ambayo hujaulizwa bado ?mimi ni mwanamke wa kitanzania,muhenga flani hivi nimezaliwa miaka ya mwanzoni kwenye 80s. ni mpole sana achana na hizi drama za nyuma ya keybord
nimetokea katika familia ya kimaskini sana,so naishi maisha simple ya kitanzania.nimeajiriwa .sina familia,sina bwana hata boyfriend sina.Nampenda Mungu sana japo mimi sio mtu wa dini.napenda jiko kuliko chumbani.
marafiki zangu wanasema mimi ni mtu wa sura mbili,naweza kuwa the sweetest person ever ila muda huo huo nikawa ni mtu mbaya kuliko maana sijui kusamehe ukishanikosea basi ni ngumu kunirejesha ila ukiw ana piece na mimi utaenjoy ama the best friend ever
waache bifu .sisi wa tz tumeungana kwa umoja wetui kuussupot vijana wetuanhaa hapo sawa unawashauri nini wasanii wanaoendekeza bifu na uteam team badala ya kuungana na kuwa kitu kimoja kuufikisha mziki wa Tz mbele??
Nakuelewa missundergraduate .nimesoma mojawapo ya chuo kikuu kimoja kikongwe hapa nchini.ukichukua vyuo vikuu vitano au hata vitatu tu kipo .naomba nisikitaje