Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
mtu mapenzi yakiisha aende tu .tena namsindikiza na tarumbeta namfanyia na sendoff partywoyoooooooooooooo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mtu mapenzi yakiisha aende tu .tena namsindikiza na tarumbeta namfanyia na sendoff partywoyoooooooooooooo!
mtu mapenzi yakiisha aende tu .tena namsindikiza na tarumbeta namfanyia na sendoff party
moyo mdanganyifu.tumia akili kwenye mapenziHapa nakuelewa.
Japo mara nyingi upepo unatuzoa
Oooh, basi naweka order mkuu. Je utanifikishia nilipo?mafuta yalishaisha mkuu .tunafanya special order
Ninavyofatilia hii interview![]()
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu sijui kiingereza umemaanisha nini? ila kama ni tusi nalirudisha kwako
ahaaa uongo mwenzangu unatesa.by the way ile foundation niliipitia inaitwa bride .japo ni mchina ni nzuri sana ipo laini halafu haiitoki haina jasho
You are welcomeAsante
mbona unanidindishia mkuu?Ninavyofatilia hii interview![]()
we naeWell in Good!! tuhame kidogo...unaonaje hali ya uchumi wa Tanzania kwa sasa
Sawa wanakujaCc Shunie
Emmyta
Neybright
Youngblood
Carba
Linamo
Stable woman
Ukhuty
Sergio 5
carbamazepine bibie popote ulipoNakujua sana hunter wapi Carba nisaidie kumtag
ahaaa hata sijui mkuu.sijitambuiMiss Natafuta ni kweli unatafuta au basi tu
Uzuri huwa hazifutwi, utazikuta tu kwa muda wako ukijaKaka hizi interview zako zitakosa mvuto Kwa kufanya interview kila siku,nakushauri uwe unafanya kila wiki na Siku ijulikane na muda ujulikane,maana sio wote tunaoweza kushinda jf kila siku kila wakati
Sent using Jamii Forums mobile app