Miss Natafuta live interview on DJ sepetu show!

[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]

Hii naikubali kwa 100% na sijawahi kusema sehemu ila nilijiridhisha siku ile moja tuliyopiga story sehemu. Japo zilikuwa chache kwanza sikutegemea kama we ni mtu wa aina ile na ungenipokea vile.

Hongera sana ndio mana watu wakikuongelea vibaya huwa najikalia kimya huku ukweli ninao moyoni.

Nilikukubali kimya kimya lol.
 
Ni Kweli kuwa huwa unatafuta Mwanaume wa kuwa naye humu ndani au..? Na kwanini hujawahi fanikiwa kuwa au Kupata Mwanaume ? Kwa jinsi ulivyojielezea wewe kwa Upande wa Umbo utakuwa Bonge , Je hiyo ndio inayokupelekea ukose Mwanaume au kuna sababu Nyingine?
Pia kama Mdau alivyosema Ni kweli kuwa wewe Jinsi yake ni Me na siyo Ke akama amb avyo umekuwa ukijinasibu?
Mwisho kabissa unajisikiaje Ukiwa na rafiki yako yeye ana Mpenzi na wewe huna ?
 
Miss Natafuta hujapataga tu miaka yote tu hata wakumfuga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…