Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Yote yaweza kuwa majibu inategemeaHivi mwanaume akiacha kulisha familia nikusahau au maamuzi yenye makusudi ndani yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yote yaweza kuwa majibu inategemeaHivi mwanaume akiacha kulisha familia nikusahau au maamuzi yenye makusudi ndani yake.
Bro tulia kwanza, mimi ndio naingia ukumbini saivMara yako ya kwanza kutendwa ulijisikiaje??
wimbo wowote mzuri .mimi kila mahali nipoKwenye aina za muziki unapenda miziki ya aina gani??
Nani ni role model wako anayekuinspire??kuhusu mkoa naomba nisiseme mkuu ila mimi ni mtu wa kaskazini huko.kutoka nje ya tz nilishawai kwenda Kenya na uganda
hahahaaBro tulia kwanza, mimi ndio naungia ukumbini saiv
Tutege masikio vizuri kwa mdada huyu nadhani kuna mengi tutajifunza
Watakuja interview ishaishaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimewaachia wamuulize wao kiu yao iishe kabisa!
muosha rungu
nilivoingia jf 2015 nilikuwa natafuta kazi mkuu ,nilishaeleza hiyo story
muulize mwenzanguHivi mwanaume akiacha kulisha familia nikusahau au maamuzi yenye makusudi ndani yake.
Poapoa Team kiba au mondi...au huamini katika team unasapoti mziki wowote mzuri??wimbo wowote mzuri .mimi kila mahali nipo
ni picha tu mkuu ila ina fanana kiasi na mimiHiyo Avatar yako ni wewe au picha tuu?
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]mimi ni mwanamke wa kitanzania,muhenga flani hivi nimezaliwa miaka ya mwanzoni kwenye 80s. ni mpole sana achana na hizi drama za nyuma ya keybord
nimetokea katika familia ya kimaskini sana,so naishi maisha simple ya kitanzania.nimeajiriwa .sina familia,sina bwana hata boyfriend sina.Nampenda Mungu sana japo mimi sio mtu wa dini.napenda jiko kuliko chumbani.
marafiki zangu wanasema mimi ni mtu wa sura mbili,naweza kuwa the sweetest person ever ila muda huo huo nikawa ni mtu mbaya kuliko maana sijui kusamehe ukishanikosea basi ni ngumu kunirejesha ila ukiw ana piece na mimi utaenjoy ama the best friend ever
Miss Natafuta hujapataga tu miaka yote tu hata wakumfuga?mimi ni mwanamke wa kitanzania,muhenga flani hivi nimezaliwa miaka ya mwanzoni kwenye 80s. ni mpole sana achana na hizi drama za nyuma ya keybord
nimetokea katika familia ya kimaskini sana,so naishi maisha simple ya kitanzania.nimeajiriwa .sina familia,sina bwana hata boyfriend sina.Nampenda Mungu sana japo mimi sio mtu wa dini.napenda jiko kuliko chumbani.
marafiki zangu wanasema mimi ni mtu wa sura mbili,naweza kuwa the sweetest person ever ila muda huo huo nikawa ni mtu mbaya kuliko maana sijui kusamehe ukishanikosea basi ni ngumu kunirejesha ila ukiw ana piece na mimi utaenjoy ama the best friend ever
Jose toa jibumuulize mwenzangu
sina team nawapenda wote nawacritisize wote pale inapobidiPoapoa Team kiba au mondi...au huamini katika team unasapoti mziki wowote mzuri??
Umezidiwa leo comradeNimewaachia wamuulize wao kiu yao iishe kabisa!
muosha rungu
Unatumia pombe? je upo tayari kwa mazungumzo na mimi?ni picha tu mkuu ila ina fanana kiasi na mimi