Miss Natafuta live interview on DJ sepetu show!

Daah! Nimekua nikijaribu kuvuta taswira huyu miss natafuta anafanananaje.Ngoja nifatilie hii interview inayoongozwa na "Zuhura Yunus" swali langu litapata jibu tu.
 
Duuuuhhh

Hii scenario sasa
 
sina team nawapenda wote nawacritisize wote pale inapobidi
anhaa hapo sawa unawashauri nini wasanii wanaoendekeza bifu na uteam team badala ya kuungana na kuwa kitu kimoja kuufikisha mziki wa Tz mbele??
 
situmii pombe mkuu. inategemea ni mazungumzo gani ,mimi sio muongeaji sana nipo very selective especially na wanaume maana wengi ni waongo mna hila nyingi
Safi saana, nahitaji maongezi na wewe ya kibiashara specially kuhusiana na bidhaa yako hapo chini
 
Dada Mbona umejibu hadi ambayo hujaulizwa bado ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…