Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Pole sana kwa kuchoka..ni katika harakati za kutafuta maisha... Kipato unachopata kinakidhi mahitaji ya kuishi??nimeacha mazoezi kidogo nipo busy sana siku hizi nafika nyumbani nimechoka
Mkuu sijui kiingereza umemaanisha nini? ila kama ni tusi nalirudisha kwakoWhat a nonsense
muosha rungu
kama yapi mkuu?Dada Mbona umejibu hadi ambayo hujaulizwa bado ?
Bila kupepesa macho , hilo ni tusi.Mkuu sijui kiingereza umemaanisha nini? ila kama ni tusi nalirudisha kwako
asante ila msiniulize maswali magumu sipendi kusema uongo
Well in Good!! tuhame kidogo...unaonaje hali ya uchumi wa Tanzania kwa sasawaache bifu .sisi wa tz tumeungana kwa umoja wetui kuussupot vijana wetu
hakitoshi kabisa .sema inabidi mambo mengine yasiyo ya lazima niachane nayo.nimeacha kuishi extravagant life naishi simple tu sipendi mikopo au kuomba kwa watuPole sana kwa kuchoka..ni katika harakati za kutafuta maisha... Kipato unachopata kinakidhi mahitaji ya kuishi??
mbaya sana.natamani kuhama nchi .akitokea mbeaba box yoyote pm mimi nazama naeWell in Good!! tuhame kidogo...unaonaje hali ya uchumi wa Tanzania kwa sasa
Bongo bahati mbaya au?? kwa nini unakata tamaa kuishi Tanzania?mbaya sana.natamani kuhama nchi .akitokea mbeaba box yoyote pm mimi nazama nae
sijawai kujali kutendwa .kama mtu hakutaki utamfanya nini? mimi nimuelewa sana
Keep it up mumy.naomba kwenye taaluma nisiseme .ila kwa sasa nimeajiriwa .japo nina mradi wangu wa kuku mmoja na vifaranga kumi .nina plan ya kuanzisha mradi mkubwa bado najipanga kuraise capital.
ahaaa uongo mwenzangu unatesa.by the way ile foundation niliipitia inaitwa bride .japo ni mchina ni nzuri sana ipo laini halafu haiitoki haina jashokuna baadhi ya vitabia nahisgi tunafanana leo sikosi !i hate lying jaman !ova unapewa kula humu na wanajf ! nipo nawah seat kbs ! Madam Mwajuma nakuwahia siti !hapana mamy we jibu tu km huna akili nzuri vlie inahu!ila na ww usitudanganye umeolewa kumbe bado !eish !
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
asante mkuu nichangie mtajiKeep it up mumy.
Kiwanda kidogo hicho
Hongera nikupongeze kwa hilo... Je ushauri wako kwa vijana wanaotafuta mafanikio kwa njia za mkato (shortcuts) ni upi?hakitoshi kabisa .sema inabidi mambo mengine yasiyo ya lazima niachane nayo.nimeacha kuishi extravagant life naishi simple tu sipendi mikopo au kuomba kwa watu
Asante kwa tafsiri, nimeshamrudishia mwenye tusi lakeBila kupepesa macho , hilo ni tusi.
Upendo ni tiba.
Team nini vile?Cc Shunie
Emmyta
Neybright
Youngblood
Carba
Linamo
Stable woman
Ukhuty
Sergio 5
mafuta yalishaisha mkuu .tunafanya special orderSafi saana, nahitaji maongezi na wewe ya kibiashara specially kuhusiana na bidhaa yako hapo chini
Asanteinaweza ikawa ni makusudi sijakataa