Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Najua sana my dear. Ila leo sio siri ulikuwa na kibarua cha kusoma mana umekuta interview ishafika nusu.Nakupenda mamy si unajuaee[emoji182] [emoji182] [emoji182]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua sana my dear. Ila leo sio siri ulikuwa na kibarua cha kusoma mana umekuta interview ishafika nusu.Nakupenda mamy si unajuaee[emoji182] [emoji182] [emoji182]
Naona interview imegeukia kwanguEbu urudi jaman
Tunakupenda pia, mwenyewe nimeotea mara paaaaaaaap miss natafuta kikaangoni page ya kumi na mbili eeehh...... Ney Sijui yuko wapiii leoLeo mmeniangusha mjue. Inakuwaje wote tunakuwa busy kukanda unga tunasahau kuweka data zetu on na kuchungulia chungulia habari mpya.
Mmeniangisha banaaa. Japokuwa mmefika ila. Mmmhh.
Ila nawapenda sana jamani hata sijui kwa nini. [emoji8] [emoji8]
Bila kumsahau Ney bright
Ambebe tu kwakweli[emoji23][emoji23][emoji23]Kichwaaaa [emoji1][emoji1][emoji1] natamani mtu atokee amkwibee
Ooooh si alimnunia kuanzia jana[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kichwa cuzoo
kama kuna kitu huwa sielewi ni hiyo issue ya kucheat.kwanini mtu akigegedana mtu mwingine iwe ni kucheat? si mwili wake ? labda kama mna ndoa .ila kama mpo mpo bado mtu anakuwa huru bnaMiss Natafuta umeshawahi kucheat ndan ya mahusiano yako? na kwann ulicheat
I like thatThe master himself.
Utafanyajeee wakati ukisema umpe baba mtoto akusaidiee ndo kama hayaDoh yani baba D unajua kuniandama[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Cc Shunie ukuje umchukue mtu wako huku
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilitegemea kitu kama iki kutoka kwako [emoji61] [emoji61]
Salama kabisa kuna mahali nimekusalimia[emoji28] [emoji28]Swahiba salama?
[emoji39] [emoji39] [emoji39]Ila wewe mtoto kama kweli vilee!
muosha rungu
Halaf hii inachosha aisee na me bila baba d kuniambia kuwa naitwa huku nilikua na mpango wa kuingia usikuNajua sana my dear. Ila leo sio siri ulikuwa na kibarua cha kusoma mana umekuta interview ishafika nusu.
Hakuna buana usiogope ujueNaona interview imegeukia kwangu
Huwa nazioteaga balaaYaani leo ni numbisa na sakayo ndo waliwahi
[emoji9][emoji9]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kichwa ukujeAmbebe tu kwakweli[emoji23][emoji23][emoji23]
Wala hatukuulizi maswali magumu,swali langu ni rahisi tu linahusu chura!!........Chura ipo?asante ila msiniulize maswali magumu sipendi kusema uongo
HahahaWallah vile watakuwa wamehack acc
Woiiiii kumbe cuzoo na wewe mchezo unausoma eenh [emoji1][emoji1][emoji1]Ooooh si alimnunia kuanzia jana[emoji23] [emoji23] [emoji23]