Miss Natafuta live interview on DJ sepetu show!

Miss Natafuta live interview on DJ sepetu show!

Leo mmeniangusha mjue. Inakuwaje wote tunakuwa busy kukanda unga tunasahau kuweka data zetu on na kuchungulia chungulia habari mpya.

Mmeniangisha banaaa. Japokuwa mmefika ila. Mmmhh.

Ila nawapenda sana jamani hata sijui kwa nini. [emoji8] [emoji8]

Bila kumsahau Ney bright
Tunakupenda pia, mwenyewe nimeotea mara paaaaaaaap miss natafuta kikaangoni page ya kumi na mbili eeehh...... Ney Sijui yuko wapiii leo
 
Doh yani baba D unajua kuniandama[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Cc Shunie ukuje umchukue mtu wako huku
Utafanyajeee wakati ukisema umpe baba mtoto akusaidiee ndo kama haya
e6177be04b57da406a5adef97c96085e.jpg
 
Back
Top Bottom