Miss Natafuta live interview on DJ sepetu show!

Miss Natafuta live interview on DJ sepetu show!

[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]

Hii naikubali kwa 100% na sijawahi kusema sehemu ila nilijiridhisha siku ile moja tuliyopiga story sehemu. Japo zilikuwa chache kwanza sikutegemea kama we ni mtu wa aina ile na ungenipokea vile.

Hongera sana ndio mana watu wakikuongelea vibaya huwa najikalia kimya huku ukweli ninao moyoni.

Nilikukubali kimya kimya lol.
Aisee!!
Mi najuaga huyu ni Dume anejifanya Jike!!
Basi hongera zake.

aeiou
 
Japoo tumetoka mbaliiii......enziii hizoo

Kuwekana kwanza .....
138e80725e2696f7bae921a6c8972f57.jpg
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom