Miss Natafuta live interview on DJ sepetu show!

hahaha hapo mie ndo nilipofail ! sipend huwa nahis hauniongezei kitu mwee !mie napenda kuangalia fashions news+siasa jaman !umbea mie hapana !najua ni nini (malezi)
ngoja niingie window shoping mara moja shosti nitakuletea new arrival items in town.kwenye pochi nina nauli tu ya dalalada lakini window shoping naenda kufanya mkukiii!!!!!!!! naomba uniombee pocket money kwa RRONDO basi
 
ni sehemu ipi ya mwili wako mpenzi wako akikupapasa kimahaba hua unakua mdogo kama piliton.
je unatumia sex toys kwa sasa unadai upo super single
 
mi popote tu nikishikwa na mpenzi nalegea,situmii sex toy mkuu.kuwa single sio lazima usex na toy .kwani ukiwa single mtu wa kusex nae unakosa? kuna watu hadi wameoa ila hawasex.sex sio mahusiano.mimi sina mahusiano na mtu ila sijakosa sex nikitaka Napata anytime
 
well said kabisa...by the way uhusiano wa sex only when needed unakuaga hauna stress na drama na kadhalika...
 
ni movi ipi kwa sasa ndio ua favourite

hili jina Miss Natafuta whats the story behind its
 
mi popote tu nikishikwa na mpenzi nalegea,situmii sex toy mkuu.kuwa single sio lazima usex na toy .kwani ukiwa single mtu wa kusex nae unakosa? kuna watu hadi wameoa ila hawasex.sex sio mahusiano.mimi sina mahusiano na mtu ila sijakosa sex nikitaka Napata anytime

good!
 
Je ushwa wahi ku date na mtu uliye mzidi umri ?kama ndio nipe uzoefu wako kwenye mahusiano ya aina hiyo
 
Miss, bahati mbaya nimekuta conversation imeisha. Ilinoga na kuwa tamu sana.
Nimepitia comments nilizopitia,ila nnakiu nami nataka nitupiemo tuwili, je nnaruhusiwa?
 
Je ushwa wahi ku date na mtu uliye mzidi umri ?kama ndio nipe uzoefu wako kwenye mahusiano ya aina hiyo
ndio nilishawai ila mahusiano yalivunjika baada ya siku mbili.
changamoto kubwa ilikuwa ni kiserengeti kilikuwa na wivu sana,kinataka tuchati kila saa.kinione kila saa yaani hatulii. pia nilikuwa sijibu sms zake maana nilikuwa sizielewi ,maneno kama bae? lmfao,xaxa,coco . hadi niombe kutafsiriwa akaona kama namchunia namdharau .tukashindwana tu.ila alikuwa ananipenda sana just imagine alikuwa anataka ndoa tu kwangu
 
Back
Top Bottom