Ki ukweli mwonekano wake si wa mtu aliyechini ya 26. Pamoja na kuvaa mask, bado zimedunda kuficha ukomavu. Nyama za mikono zimelegea kinyumke na watoto wa kiafrica wa umri 18.
Na ukimtazama ni kama kweli amewahi kuzaa na kama hajazaa basi ni mkubwa kuliko 26.
Lakini, wala hainipi shida kwa sababu mashindano haya, hayalet tija kwa mtu yeyote hapa. Ila ninaangalia mtidno wa ccm kuchakachua kila kitu na sasa umiss, hakuna kitu chenye mkono wa ccm kitakachokuwa halali!.
Popote utakapoona ccm wanajisogeza, fahamu tayari disco limeingiliwa mmasai na mkuki, rungu na sime. Kwa hiyo ukitaka jambo liende halali kwa ustaarabu na viwango sahihi bila mizengwa na uchakachuaji, jambolako liwe mbali na ccm. vinginevyo umeliwa!.