Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu

jamaniee samahan,naomben kuelekezwa jinsi ya kupost ki2 kwenye jf tafadhar
 
Wale wenye uchu wa kuwa washindi wa
Miss Tanzania Mwaka 2015 Mwenzenu
ameshawaonyesha mbinu inaitwa
CONFUSE THE JUDGES!! Jifunze
Kichina muda ukifika
KAMUA JUKWAANI hata kama
umewatukana ukoo wao mzima kwa
kichina UTASHINDA..

Kimsingi hakuna alipo wachanganya sema majaji pengine walikuwa na mshindi wao mkononi maana lugha zilikuwa ni mbili tuu kati ya kingereza au kiswahili basi hivyo alitakiwa ajikite kwenye lugha hizo mbili!

Huyu Miss atasumbuka sana na hili taji na pengine anaweza kuwa amechimbia kaburi haya mashindano na yasihaminike tena!
 
Ukiona kila mtu analalamika ujue kuna jambo, huyu hakustahili kabisa kuwa Miss Tanzania, aliyestahili ni yule dada aliyejibu swali la family planning alikuwa wa mwisho kujibu kuulizwa na kujibu maswali.
 
huyu dada mbona mnamuandama sana. Ths is cyberbullying. Atajiua, muacheni.
 

Attachments

  • Miss TZ Gazeti.jpg
    217.9 KB · Views: 328
  • Miss TZ passport.jpg
    119 KB · Views: 307
huyu dada mbona mnamuandama sana. Ths is cyberbullying. Atajiua, muacheni.

Mkuu.... hata mamtoni wanamtambua na wamempa driving licence
 

Attachments

  • Miss TZ DL.jpg
    49.1 KB · Views: 295
Hahaha hii balaa! Watu adi kitambulisho wametafuta 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…