Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu na Whozu wabarikiwa Mtoto wa Kiume

Hatimaye mwenyezi Mungu ameamua kujidhihirisha wazi kupitia kwa aliyekuwa beautiful onyinye miaka ya nyuma na mrembo aliyependwa sana na watanzania.

Wema Isack Sepetu wakati wa huko nyuma aliwahi kusema alifanya makosa katika abortion aliyowahi kufanya miaka ya nyuma aliambiwa na madaktari hatoweza kubeba mimba.

Ila mwenyezi Mungu alivyo wa ajabu kamjalia mtoto wa kiume! Walio muita tasa leo nao wanaungana kucoment "congratulations " watasema nini sasa hawawezi kusema kasingizia mimba pembe la ng'ombe halifichiki?

Mimi Sweet16 naungana na waliofurahishwa na jambo hilo kumshukuru Mungu kwa ajili ya Wema Sepetu.
Mungu anaweza yoote
 
kuna mtu anaweza akaandaliwa kumletea mwingine kichanga. Ni mpango mahususi wa daktari na nesi na huyo anayejifungua. nothing impossible under the sun
 
Back
Top Bottom